Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

Hahhahha mimvua ya meseji
 
Anasubiri uonyeshe jitihada zako ili aamue kama amekubali au amekataa. Na hizo jitihada ni kwa njia ya miamala tu.
Sasa jifanye Mbosso ujifanye unatuma mashairi na msg za baby umekula bila kutuma hela ya chakula ndio utajua nini hasa maana ya 'no comment'.
 
imenibidi niscreenshot huu ujumbe maan
nimeyakumbuka maboko yangu nimeishia kucheka kimoyo moyo
 
Jifunze kuwa gentleman, kama umeeleza hisia zako. Basi mind your business, only time ukimtafuta ni kama unataka umtoe out, umpe zawadi n.k Epuka long convos kwenye simu, ukitaka kuzungumza naye mtoe out, akuzoee ile ana kwa ana. Baada ya hapo unampa muda wa kukufikiria na kukukumbuka.
 
Hii mbinu niliitumia sana zamani gheto langu likiwa kali nilifyeka mtaa mzima na ofisi nzima
 
Hiyo hela ta outing na zawadi amtumie mama yake anywe pepsi bariiidi.sihongi demu ambaye sijamla
 
Chukua hii kijana kutoka kwa binti la kisukuma huko Misasi Misungwi ndani ndani huko limekulia udaga!❤️
 
hivi bado kuna kutongoza siku hizi?

siku nyingine ukimzimia mdada sema tu hivi:

WEWE DADA NIMEKUPENDA HILI SIO OMBI NI AMRI


Baaasi imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…