Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ku
Kuna demu nilikuwa na mtongoza nikamuuliza ana jamaa,akasema anaye ila sio kivileeπŸ˜€πŸ˜€
 
Unajichoshaaa ukija kumvua unakuta nikama mdogo wake mama j, yule wa chuo
 
Hio ndo point yangu mwanamke hawez kuwa kavutiwa na wewe alafu akuambie muwe kwenye friendzone

Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
 
Vijana sikuhiz mnafeli sana, mwanamke anakujibu hivyo unakata tamaa unamuogopa? Hujui ndio kipimo cha urijali na uanaume wako anataka akuone utafanyaje umpate zaidi...
Mimi hayo majibu ndio huwa nayapenda... Nakumbuka nikiwa na miaka 28 Kuna mama mmoja wa makamo nilikutana naye kazini kwake somewhere, sijui nilipata wapi ujasiri ule nilimchombeza kiaina ile ya kuonyesha nimemuelewa, alinijibu kwa ukali kaweka sura ya mbuzi "kijana niheshimu tu, mimi ni mkubwa kama mama yako"... Ni kweli alikua mtu mzima (50+) ila alikua mzuri mwenye umbo la kuvutia...
Kesho yake mchana nikajiambia yule mama nikikaa kimya ataona nimemuogopa, nikamfuata face to face nilimsalimia nikamuomba utelezi live bila chenga, nikamwambia embu acha kujifanya mtu mzima wakat wewe ni mwanamke mrembo mwenye kuvutia nahitaji leo nikakupe utamu ambao uliwahi kuupata ukiwa msichana πŸ˜…πŸ˜… akaishia kucheka akasema leo umeniamulia sijawahi ona mwanaume jasiri hivi, kijana unajiamini unataka hadi vitamu vya baba yako..? Utaishia kunichafua tu image yangu... Nikamwambia nipo serious saa ngapi utakua free? Akaniambia embu ondoka hapa na maneno yako ushanivuruga nitakupigia cm baadae... Akili yangu ikaniambia kwa jinsi alivyo kujibu ondoka tayar kaingia 18 anazuga tu... Jioni saa 10 akanipigia cm "wee mtoto umenifanya sijafanya kazi nawaza maneno yako, acha upuuzi tafuta sehem ya siri utanielekeza nije" πŸ˜…πŸ€£ in 20 minutes nikawa nimepata hotel ya bei kawaida tu 60K... Nilimpiga show moja matata akaniambia kuanzia leo tutakua tunakuja hapa ila sipendi utoto nisikie huko nje... Hadi leo she's my best friend tunashauriana maisha tunapeana connection na kukojozana πŸ˜‹
 
Huo ndio ukweli mchungu weng hawapend kuuskia[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…