Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ha ha ha.....ulicheza kiume Sana,
Mwanaume utakiwi kubembeleza sn
Unakubali urafiki afu unatafta mbadala
Apo ungeonyesha uko desperate sn mzungu bandia angekunyanyasa Sana kihisia
Kalikuwa na uzungu mwingi sana kale kademu. Kalienda Canada [emoji1063] kanaishi huko no mume no mtoto
 
Kama marafiki lazima mtoke out na gharama ni juu yako. Na kama unamtaka unajiongeza gifts za hapa na pale. Kama anakupenda hachomoi utamla tu siku si nyingi
Hio ni taming tactic ambayo inakuchukua gharama sana kwa mjini. Imagine mwanamke hakupendi ujipendekeze hadi akuweke akilini lazma umfanyie vingi ambavyo anavitaka yeye. Utalipishwa kodi, utatuma sana vocha, outing hadi siku atakayokuonea huruma ndio atakupa na hapo ukute sio mlevi dah. Hapo unakuta kashakuvuruga sana kihisia yani sababu ulishamtongoza at first place.

Its wastage of time and other resources.
 
Hio kibabe sana yani sema inahitaji ujasiri kama ulivyosema.
 
Kuna ambaye alikuwa anasisitiza sisi ni marafiki,hela anataka nikitaka na mimi anasema hatujawa wa penzi, siku nikamwambia sisi ni marafiki hatupeani hela, asubiri tuwe wapenzi, ukawa ndio mwisho.
Hahahah hapo ndipo mwanamke anapojionaga mjanja. Yani K hakupi ila anataka benefits. Kuna mmoja nilimpa signal kuwa namfagilia akawa ni kuleta matatizo tu mara na njaa mara vocha nikawa nampa support tu na vizawadi hapa na pale lengo ajiongeze mwisho akazingua nikaona freshi nikakata support apambane na hali yake.
 
Hahahah hizo pigo za watu waliopitia Cuba πŸ˜€!!!

Mbadala wake unaweza ukamuweka kando tu kibabe unakata mazoea. Akijiuliza amekosea wapi atakuja mzima mzima ndipo unamtafuna kibabe.
 
Hakunaga master wa kutongoza ndo maana kila mwanaume amesha-experience vibuti ndo maana ikaitwa approach
Usiishi kwa kukariri maisha, wapo ila hujakutana nao. Kuna wanaume wamezawadiwa kipawa cha kushawishi jinsia yake kadri apendavyo. 😁😁
 
Kwasababu wengine tunapenda ianze na urafiki kwanza na si kuingia kwenye mapenzi hapo hapo
Ni mfumo mzuri ila tatizo una kulaga upande wetu mara nyingi. Sababu ukiwa na urafiki na mtu maana yake amekupiga pini huna access na chupi yake. Unaweza ukawa rafiki huku wenzio wanakuja na wanakula tu ila wewe uko friendzoned na unaliwa hela zako.
 
Yaan huo mwaka mzima unabembeleza TU kupendwa?

Hapo mpk umetumia nguvu zote hizo upendwi,utaonewa tu huruma ila Moyo haupo.

Akimpata crush wake hakuna rangi utaacha kuona[emoji4]

Sibembelezi napendwa, wewe hujui unachomaanisha, wewe unamaanisha ngono, sio upendo, urafiki ni Upendo, na nina enjoy every process, bila wasiwasi, tatizo lako wewe utakuwa unangoja ngono, mimi singoji ngono, I enjoy the process
 
 
uzoefu wangu hawa viumbe hawako static huwa wanabadilika especially akikuambia hivyo na ukakubali na uache kuhangaika naye ila bado unamsalimia vizuri. Na wakati mwingine wanakuwaga na wivu wakikuta umesimama na mwanamke mwingine mnapiga story mnacheka. Kwa ufupi hawa watu hawataki mtu wa kuwaganda, wanahitaji mtu ambaye wanamuona ana maisha mengine mbali na wao.


Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Sibembelezi napendwa, wewe hujui unachomaanisha, wewe unamaanisha ngono, sio upendo, urafiki ni Upendo, na nina enjoy every process, bila wasiwasi, tatizo lako wewe utakuwa unangoja ngono, mimi singoji ngono, I enjoy the process
Mapenz gan bila ngono,
Mama yako au Ndugu yako huyo?
Wanawake wameisha?
Hizo pesa za kuchezea Si Bora ukawape maskini?
 
Dunia inaenda kasi sana,,, Mambo ya kutongoza yalisha pitwa na wakati..

Mimi huwa nafanya hivi 😊😊

Mimi = mambo sister

Yeye = poa tuhh

Mimi = sorry nisaidie namba yako kama huto jari

Yeye = 06754.......

Mimi = Asante sana

Yeye = okay.

Hapa sasa kama kidume uliye kamilika kaa kimya zaidi ya wiki moja hivi alafu unamvutia waya..

Utajitambilisha fresh.. Najua atalalamika sana... Ohhoh mbona ulikua hunitafuti siku zote hizo???
Wewe Mjibu sorry but nilikua nakukumbuka sana ..

Baada ya kusalimiana muulize tuhh naomba nikupigie tena usiku kama huto jari!!! Na pia muulize mda gani umpigie( Hapa hakikisha ule mda wa kulala ndo best) ...????
Akikujibu okay Sawa..

Sasa hapo unapanga zako step chache za maswali(haya maswali yanaitwa ya kuboa), inapendeza sana mda akiwa amelala ndo umuulize haya masali.
1. Amelalaje ( style aliyo lala)
2. Umevaa nguo gani
3. Umevaa ya rangi gani

Akijibu hayo maswali matatu hapo juu,, total jua kabisa BLUETOOTH IS CONNECTED SUCCESSFULLY πŸ˜‚

Hapo una malizia tuhh kuomba hata busu.....
 
Kwanza unatakiwa ujue ni sisi ndio tunawalazimisha kutupenda maana mpaka unamtongoza ni unamwaga swaga ukubalike wakati yy hakuwa na fikra na ww
So hapo solution ni kuendelea kumtongoza tu mpk atakubali lkn ukikimbia ataona huna nia.
NB. Utakuwa ajenda katika kikao cha wanaume. Unatufanya tutoe siri za kambi
 
My wife said the same thing and now we have two beautiful kids.
Kuoa ama kuolewa na mtu fulani sio kipimo Cha upendo. Hivi unaujua upendo. Wewe unaoa mie naambiwa kuwa njoo uniage mwezi ujao naolewa. Yaani naolewa Ila huyu simpendi Basi Ni umri tu umefika. Yaani haya maisha yaachane tu ,kwani Ni wangapi wanafanya kazi fulani Ila ndoto zao mpaka wanazeeka zipo kwenye career fulani. Wengi wanafanya kazi ili life lisonge na ndio Mana watu wamejaa hasira makazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…