Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
How do you know its your kids?My wife said the same thing and now we have two beautiful kids.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How do you know its your kids?My wife said the same thing and now we have two beautiful kids.
Lengo ni kumichana tu. Kati ya mahusiano 10 basi 8 yanalenga kuvuana chupi tu. Mawili ndio yanayolenga ustawi.Inategemea lengo la mahusiano yenyewe.
Kalikuwa na uzungu mwingi sana kale kademu. Kalienda Canada [emoji1063] kanaishi huko no mume no mtotoHa ha ha.....ulicheza kiume Sana,
Mwanaume utakiwi kubembeleza sn
Unakubali urafiki afu unatafta mbadala
Apo ungeonyesha uko desperate sn mzungu bandia angekunyanyasa Sana kihisia
Hio ni taming tactic ambayo inakuchukua gharama sana kwa mjini. Imagine mwanamke hakupendi ujipendekeze hadi akuweke akilini lazma umfanyie vingi ambavyo anavitaka yeye. Utalipishwa kodi, utatuma sana vocha, outing hadi siku atakayokuonea huruma ndio atakupa na hapo ukute sio mlevi dah. Hapo unakuta kashakuvuruga sana kihisia yani sababu ulishamtongoza at first place.Kama marafiki lazima mtoke out na gharama ni juu yako. Na kama unamtaka unajiongeza gifts za hapa na pale. Kama anakupenda hachomoi utamla tu siku si nyingi
Hio kibabe sana yani sema inahitaji ujasiri kama ulivyosema.Vijana sikuhiz mnafeli sana, mwanamke anakujibu hivyo unakata tamaa unamuogopa? Hujui ndio kipimo cha urijali na uanaume wako anataka akuone utafanyaje umpate zaidi...
Mimi hayo majibu ndio huwa nayapenda... Nakumbuka nikiwa na miaka 28 Kuna mama mmoja wa makamo nilikutana naye kazini kwake somewhere, sijui nilipata wapi ujasiri ule nilimchombeza kiaina ile ya kuonyesha nimemuelewa, alinijibu kwa ukali kaweka sura ya mbuzi "kijana niheshimu tu, mimi ni mkubwa kama mama yako"... Ni kweli alikua mtu mzima (50+) ila alikua mzuri mwenye umbo la kuvutia...
Kesho yake mchana nikajiambia yule mama nikikaa kimya ataona nimemuogopa, nikamfuata face to face nilimsalimia nikamuomba utelezi live bila chenga, nikamwambia embu acha kujifanya mtu mzima wakat wewe ni mwanamke mrembo mwenye kuvutia nahitaji leo nikakupe utamu ambao uliwahi kuupata ukiwa msichana 😅😅 akaishia kucheka akasema leo umeniamulia sijawahi ona mwanaume jasiri hivi, kijana unajiamini unataka hadi vitamu vya baba yako..? Utaishia kunichafua tu image yangu... Nikamwambia nipo serious saa ngapi utakua free? Akaniambia embu ondoka hapa na maneno yako ushanivuruga nitakupigia cm baadae... Akili yangu ikaniambia kwa jinsi alivyo kujibu ondoka tayar kaingia 18 anazuga tu... Jioni saa 10 akanipigia cm "wee mtoto umenifanya sijafanya kazi nawaza maneno yako, acha upuuzi tafuta sehem ya siri utanielekeza nije" 😅🤣 in 20 minutes nikawa nimepata hotel ya bei kawaida tu 60K... Nilimpiga show moja matata akaniambia kuanzia leo tutakua tunakuja hapa ila sipendi utoto nisikie huko nje... Hadi leo she's my best friend tunashauriana maisha tunapeana connection na kukojozana 😋
Hahahah hapo ndipo mwanamke anapojionaga mjanja. Yani K hakupi ila anataka benefits. Kuna mmoja nilimpa signal kuwa namfagilia akawa ni kuleta matatizo tu mara na njaa mara vocha nikawa nampa support tu na vizawadi hapa na pale lengo ajiongeze mwisho akazingua nikaona freshi nikakata support apambane na hali yake.Kuna ambaye alikuwa anasisitiza sisi ni marafiki,hela anataka nikitaka na mimi anasema hatujawa wa penzi, siku nikamwambia sisi ni marafiki hatupeani hela, asubiri tuwe wapenzi, ukawa ndio mwisho.
Hahahah hizo pigo za watu waliopitia Cuba 😀!!!Kuna kadada kamoja nilisoma nako chuo kalikuwa kanachukua degree ya marketing, ni vile ambavyo vimesoma kipindi hicho international school sijui ya Moshi enzi za primary so alikuwa anajiona matawi sana.
Enzi hizo kila mtu alikuwa anapata BOOM ila yeye alikuwa anasomeshwa private kutokana na ukwasi wa wazazi wake.
Sasa mie nikawa nakalia rada maana nilikuwa mbobevu na magoma dizaini hiyo. Nikamvuta karibu akajaa nikamwaga sera. Nikatolewa mbavuni kuwa hataki kujihusisha na mahusiano so tuwe marafiki tu nikasema sawa.
Basi kakawa kanajifanya kazungu kila mara kanakuja room kwangu mara twende town mara sijui tukale. Watu wote wakajua nakula kumbe undani naujua mie.
Nilipokuwa chuo nilikuwa na umarekani fulani hivi nina afro moja matata kama Coolio (RIP) na nilikuwa naishi style kama ya 2pac fujo nyingi zisizoumiza yaani ile charming na kisela. Basi mademu wakawa wanazimia ile style ila kwa kuwa nilikuwa na huyu mzungu bandia (marafiki) wakawa wanaishia kunipa Hi tu. Sasa kuna demu mmoja alinikuta na gazeti moja (magazine) lilikuwa la hip hop linaitwa Source (wahenga mtakuwa mnalikumbuka) akaniazima.
Tukaja kuzoeana na demu aliyeazima gazeti sana baadae nikamtongoza nikawa namla. Yule demu nilimweleza kuwa huyu mzungu bandia sio demu wangu ni rafiki tu so baada ya kusikia vile akawa nae anakaba kuwa na mimi. Yule mzungu bandia kuona vile akawa full mawivu akawa ananilaumu kuwa alikuwa ananichunguza ili tuwe pamoja ila nimeshindwa kuvumilia. Siku ananipa hayo malawama kaja chumbani analia anasema nimemdissapoint sana. Funzadume nifanyeje sasa. Nikam-please kisha nikala mzigo. Baada ya hapo nikawa na mademu wawili chuoni kama Mfalme Mswati
Usiishi kwa kukariri maisha, wapo ila hujakutana nao. Kuna wanaume wamezawadiwa kipawa cha kushawishi jinsia yake kadri apendavyo. 😁😁Hakunaga master wa kutongoza ndo maana kila mwanaume amesha-experience vibuti ndo maana ikaitwa approach
Ni mfumo mzuri ila tatizo una kulaga upande wetu mara nyingi. Sababu ukiwa na urafiki na mtu maana yake amekupiga pini huna access na chupi yake. Unaweza ukawa rafiki huku wenzio wanakuja na wanakula tu ila wewe uko friendzoned na unaliwa hela zako.Kwasababu wengine tunapenda ianze na urafiki kwanza na si kuingia kwenye mapenzi hapo hapo
Yaan huo mwaka mzima unabembeleza TU kupendwa?
Hapo mpk umetumia nguvu zote hizo upendwi,utaonewa tu huruma ila Moyo haupo.
Akimpata crush wake hakuna rangi utaacha kuona[emoji4]
Mimi kama natafuta mpenzi, nitauomba utafiki kwanza, bila papara hata wa mwaka, na mambo ya mapenzi attanzisha mwenyewe, kwa wanaume wa kweli entry ya urafiki is the best kumpata mwanamkw.
Ila ki ukweli, mwanamke yeyote akiruhusu kuwa karibu na mimi nikimtaka simkosi, bila hata kulazimisha, analegea peke yake, kwa hiyo akiniambia tuwe marafiki, nachekelea ndani ndani.
uttoh2002 Soma Hapa[emoji4][emoji115]Ni mfumo mzuri ila tatizo una kulaga upande wetu mara nyingi. Sababu ukiwa na urafiki na mtu maana yake amekupiga pini huna access na chupi yake. Unaweza ukawa rafiki huku wenzio wanakuja na wanakula tu ila wewe uko friendzoned na unaliwa hela zako.
uzoefu wangu hawa viumbe hawako static huwa wanabadilika especially akikuambia hivyo na ukakubali na uache kuhangaika naye ila bado unamsalimia vizuri. Na wakati mwingine wanakuwaga na wivu wakikuta umesimama na mwanamke mwingine mnapiga story mnacheka. Kwa ufupi hawa watu hawataki mtu wa kuwaganda, wanahitaji mtu ambaye wanamuona ana maisha mengine mbali na wao.Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone wengi wao ni wastaarabu na jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
Mara nyingi hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye.
Nimewasilisha
Mapenz gan bila ngono,Sibembelezi napendwa, wewe hujui unachomaanisha, wewe unamaanisha ngono, sio upendo, urafiki ni Upendo, na nina enjoy every process, bila wasiwasi, tatizo lako wewe utakuwa unangoja ngono, mimi singoji ngono, I enjoy the process
Mapenz gan bila ngono,
Mama yako au Ndugu yako huyo?
Wanawake wameisha?
Hizo pesa za kuchezea Si Bora ukawape maskini?
Kwanza unatakiwa ujue ni sisi ndio tunawalazimisha kutupenda maana mpaka unamtongoza ni unamwaga swaga ukubalike wakati yy hakuwa na fikra na wwKatika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone wengi wao ni wastaarabu na jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
Mara nyingi hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye.
Nimewasilisha
Kuoa ama kuolewa na mtu fulani sio kipimo Cha upendo. Hivi unaujua upendo. Wewe unaoa mie naambiwa kuwa njoo uniage mwezi ujao naolewa. Yaani naolewa Ila huyu simpendi Basi Ni umri tu umefika. Yaani haya maisha yaachane tu ,kwani Ni wangapi wanafanya kazi fulani Ila ndoto zao mpaka wanazeeka zipo kwenye career fulani. Wengi wanafanya kazi ili life lisonge na ndio Mana watu wamejaa hasira makaziniMy wife said the same thing and now we have two beautiful kids.