Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Maisha kumbe ni mepesi namna hii ๐Ÿคฃ
 
Hapo ndo Kuna Tatizo,
Afu ukiwa fala ndo unajikuta unatoa ili uonekane gentleman,unajua kucare [emoji38]

Haha mkuu mbinu ziko nyingi mf kutumia siraha zote kwa target victim within short period of time, hii hua tunaitumia kwa wadada walio classic wenye uchumi wao wanajiona wanaweza kila kitu bila usidiz wa mwanaume, so ndan ya week moja yan sionyeshi uthaifu wowote na ukiona amezingua kua mkali sepa hakikisha hujaacha nyuma any sign of being weak to her.

kitu kingine watu wasichojua kila mwanamke anakipaumbele chake kwaiyo inabid ukipredict mapema ila nnachokiamini kila mwanamke ni mzinzi in natural wasio waza iko kitu bas jua wapo katikati ya matatzo au wagojwa ila wengi ambao unawaona wako fresh ukijiamini na ukamuwashia taa za kuonyesha unaweza mpa raha za dunia atakuja tuu mwemyewe na upaswi kumtongoza its motter of being โ€œhot guyโ€ โ€œdominate hisia zakeโ€ yan hakikisha akikuona unamturn on hata mkiwa eneo la office ukiijua hii science umemaliza ila chunga isichkue muda sana ikizid sana ni two weeks ikizid hapo unaweza mpoteza[emoji16]USITONGOZE MWANAMKE labda kiwe kitoto [emoji16] mwanamke hatongozwi utawakimbiza wote[emoji16]
 
May be Kila mtu ana elimu yake ni kweli hii kitu ya mahusiano ina elimu pana sana.

Wengine watakubaliana nami wife material ukimuaproach hawezi kubali siku hiyo hiyo atakwambia tuwe marafiki tu au asikupe jibu lakini lengo lake akusome akujue kama ulimaanisha
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Aisee maswali ya ...... Au basi Yani unamuuliza mtu umevaa nguo gani , rangi gani
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Aisee maswali ya ...... Au basi Yani unamuuliza mtu umevaa nguo gani , rangi gani
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, nakuambia mkuu, ukitaka umkose mtoto mkali... Mtongoze

Maana ukimtongoza tuhh.. Ndo unazidisha ugumu wa kazi,,
1. mara oh oh nitakujibu baada ya wiki
2. Mara Mi nina mtu wangu
3. Mara umenipendea nini?
4. Mara nitajuaje kama unanipenda hapo ndo mwanzo wa kuaza kuchunika kabla hata mzigo hauja tafuna ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Aisee๐Ÿค”๐Ÿ˜‚, nisameheee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nilijuaga ni ka mwanachuo fulani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Gily
haha chuo nimemaliza miaka 8 iliyopita. Baba wa familia kabisa na masikhara mengi sana watu wananichukulia poa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kwa wanaonijua huwa wanashangaa sana๐Ÿ˜€ hawaamini it's me who post masikhar humu ndani
 
Ni kweli wife material wengi sana husumbua mwanzoni kukupima imani ila kwa mwanaume uliyekamilika utagundua tu siku ya kwanza kama anakupenda au hakupendi.
 
Ni kweli wife material wengi sana husumbua mwanzoni kukupima imani ila kwa mwanaume uliyekamilika utagundua tu siku ya kwanza kama anakupenda au hakupendi.
Kabisa maongezi tu utajua amekubali au hajakuelewa ila hakupi jibu la ndio utajiongeza mwenyewe
 
Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye.
Mwingine ataenda mbele na kutaka kuwa dada ako, imagine.

Bora ata rafiki, dadaa!!??

Unamwambia tu wazi, hee mi nataka rafiki, mchepuko, mke sio dada. Dada tunapewagwa na familia hatujitafutii wenyewe mtaani. Nenda zako๐Ÿ˜พ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
haha chuo nimemaliza miaka 8 iliyopita. Baba wa familia kabisa na masikhara mengi sana watu wananichukulia poa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kwa wanaonijua huwa wanashangaa sana๐Ÿ˜€ hawaamini it's me who post masikhar humu ndani
Ila SI haujafika 30 bro๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ