Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Dunia inaenda kasi sana,,, Mambo ya kutongoza yalisha pitwa na wakati..

Mimi huwa nafanya hivi 😊😊

Mimi = mambo sister

Yeye = poa tuhh

Mimi = sorry nisaidie namba yako kama huto jari

Yeye = 06754.......

Mimi = Asante sana

Yeye = okay.

Hapa sasa kama kidume uliye kamilika kaa kimya zaidi ya wiki moja hivi alafu unamvutia waya..

Utajitambilisha fresh.. Najua atalalamika sana... Ohhoh mbona ulikua hunitafuti siku zote hizo???
Wewe Mjibu sorry but nilikua nakukumbuka sana ..

Baada ya kusalimiana muulize tuhh naomba nikupigie tena usiku kama huto jari!!! Na pia muulize mda gani umpigie( Hapa hakikisha ule mda wa kulala ndo best) ...????
Akikujibu okay Sawa..

Sasa hapo unapanga zako step chache za maswali(haya maswali yanaitwa ya kuboa), inapendeza sana mda akiwa amelala ndo umuulize haya masali.
1. Amelalaje ( style aliyo lala)
2. Umevaa nguo gani
3. Umevaa ya rangi gani

Akijibu hayo maswali matatu hapo juu,, total jua kabisa BLUETOOTH IS CONNECTED SUCCESSFULLY 😂

Hapo una malizia tuhh kuomba hata busu.....
Maisha kumbe ni mepesi namna hii 🤣
 
Hapo ndo Kuna Tatizo,
Afu ukiwa fala ndo unajikuta unatoa ili uonekane gentleman,unajua kucare [emoji38]

Haha mkuu mbinu ziko nyingi mf kutumia siraha zote kwa target victim within short period of time, hii hua tunaitumia kwa wadada walio classic wenye uchumi wao wanajiona wanaweza kila kitu bila usidiz wa mwanaume, so ndan ya week moja yan sionyeshi uthaifu wowote na ukiona amezingua kua mkali sepa hakikisha hujaacha nyuma any sign of being weak to her.

kitu kingine watu wasichojua kila mwanamke anakipaumbele chake kwaiyo inabid ukipredict mapema ila nnachokiamini kila mwanamke ni mzinzi in natural wasio waza iko kitu bas jua wapo katikati ya matatzo au wagojwa ila wengi ambao unawaona wako fresh ukijiamini na ukamuwashia taa za kuonyesha unaweza mpa raha za dunia atakuja tuu mwemyewe na upaswi kumtongoza its motter of being “hot guy” “dominate hisia zake” yan hakikisha akikuona unamturn on hata mkiwa eneo la office ukiijua hii science umemaliza ila chunga isichkue muda sana ikizid sana ni two weeks ikizid hapo unaweza mpoteza[emoji16]USITONGOZE MWANAMKE labda kiwe kitoto [emoji16] mwanamke hatongozwi utawakimbiza wote[emoji16]
 
Kijana uliyepost inabidi upimwe uanaume wako kwasababu kama ni hivyo itabidi utongoze wanawake wengi sana ambapo pia unaweza usifanikiwe. Enzi za ujinga wangu nilikuwa kama wewe kumbe yule manzi alikuwa ananipenda... ndo siku moja akaniwashia taa ya kijani kwa kuniambia HAPENDI MWANAUME MKATA TAMAA... tulikuja kuwa wapenzi tuliopendana sana kabla ya kutenganishwa na MSUKUMA.
May be Kila mtu ana elimu yake ni kweli hii kitu ya mahusiano ina elimu pana sana.

Wengine watakubaliana nami wife material ukimuaproach hawezi kubali siku hiyo hiyo atakwambia tuwe marafiki tu au asikupe jibu lakini lengo lake akusome akujue kama ulimaanisha
 
Dunia inaenda kasi sana,,, Mambo ya kutongoza yalisha pitwa na wakati..

Mimi huwa nafanya hivi 😊😊

Mimi = mambo sister

Yeye = poa tuhh

Mimi = sorry nisaidie namba yako kama huto jari

Yeye = 06754.......

Mimi = Asante sana

Yeye = okay.

Hapa sasa kama kidume uliye kamilika kaa kimya zaidi ya wiki moja hivi alafu unamvutia waya..

Utajitambilisha fresh.. Najua atalalamika sana... Ohhoh mbona ulikua hunitafuti siku zote hizo???
Wewe Mjibu sorry but nilikua nakukumbuka sana ..

Baada ya kusalimiana muulize tuhh naomba nikupigie tena usiku kama huto jari!!! Na pia muulize mda gani umpigie( Hapa hakikisha ule mda wa kulala ndo best) ...????
Akikujibu okay Sawa..

Sasa hapo unapanga zako step chache za maswali(haya maswali yanaitwa ya kuboa), inapendeza sana mda akiwa amelala ndo umuulize haya masali.
1. Amelalaje ( style aliyo lala)
2. Umevaa nguo gani
3. Umevaa ya rangi gani

Akijibu hayo maswali matatu hapo juu,, total jua kabisa BLUETOOTH IS CONNECTED SUCCESSFULLY 😂

Hapo una malizia tuhh kuomba hata busu.....
😂😂Aisee maswali ya ...... Au basi Yani unamuuliza mtu umevaa nguo gani , rangi gani
 
😂😂Aisee maswali ya ...... Au basi Yani unamuuliza mtu umevaa nguo gani , rangi gani
😂😂, nakuambia mkuu, ukitaka umkose mtoto mkali... Mtongoze

Maana ukimtongoza tuhh.. Ndo unazidisha ugumu wa kazi,,
1. mara oh oh nitakujibu baada ya wiki
2. Mara Mi nina mtu wangu
3. Mara umenipendea nini?
4. Mara nitajuaje kama unanipenda hapo ndo mwanzo wa kuaza kuchunika kabla hata mzigo hauja tafuna 😐😐
 
May be Kila mtu ana elimu yake ni kweli hii kitu ya mahusiano ina elimu pana sana.

Wengine watakubaliana nami wife material ukimuaproach hawezi kubali siku hiyo hiyo atakwambia tuwe marafiki tu au asikupe jibu lakini lengo lake akusome akujue kama ulimaanisha
Ni kweli wife material wengi sana husumbua mwanzoni kukupima imani ila kwa mwanaume uliyekamilika utagundua tu siku ya kwanza kama anakupenda au hakupendi.
 
Ni kweli wife material wengi sana husumbua mwanzoni kukupima imani ila kwa mwanaume uliyekamilika utagundua tu siku ya kwanza kama anakupenda au hakupendi.
Kabisa maongezi tu utajua amekubali au hajakuelewa ila hakupi jibu la ndio utajiongeza mwenyewe
 
Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye.
Mwingine ataenda mbele na kutaka kuwa dada ako, imagine.

Bora ata rafiki, dadaa!!??

Unamwambia tu wazi, hee mi nataka rafiki, mchepuko, mke sio dada. Dada tunapewagwa na familia hatujitafutii wenyewe mtaani. Nenda zako😾
 
😂😂
 
haha chuo nimemaliza miaka 8 iliyopita. Baba wa familia kabisa na masikhara mengi sana watu wananichukulia poa😀😀😀

Kwa wanaonijua huwa wanashangaa sana😀 hawaamini it's me who post masikhar humu ndani
Ila SI haujafika 30 bro😂😂
 
Back
Top Bottom