blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 105
- 291
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.
Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama washikaji tu baadae tukakubaliana tuwe na mahusiano tumeenda vizuri sana lakini tangu huu mwaka jana mwishoni baada ya kuona am into him mazima jamaa ni kama kachange..
Ukimuomba hela kila siku hana😂😂anaforce fantasy za ajabu ambazo ukikaa ukiwaza unaona kabisa si sawa, hajali tena unaweza mwambia unaumwa na hata asiulize unaendeleaje na wala asitake kujua hali yako unless umkumbushe bdo atajifanya sorry nilipitiwa..
I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale
Hii hali imenichosha, amenitoka kabisa kwa sasa natamani kumove on
Nistay single until nipate the right one
Sasa naombeni ushauri je nimwambie au ni move on kimyakimya ye akija kustuka akute mi tayari niko na maisha mengine ama nifanyeje 😒
Msinipopoe wala hata msiulize Id yangu ya samani ni ipi