Ukimuomba hela kila siku hana

Ukimuomba hela kila siku hana

Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.

Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama washikaji tu baadae tukakubaliana tuwe na mahusiano tumeenda vizuri sana lakini tangu huu mwaka jana mwishoni baada ya kuona am into him mazima jamaa ni kama kachange..

Ukimuomba hela kila siku hana😂😂anaforce fantasy za ajabu ambazo ukikaa ukiwaza unaona kabisa si sawa, hajali tena unaweza mwambia unaumwa na hata asiulize unaendeleaje na wala asitake kujua hali yako unless umkumbushe bdo atajifanya sorry nilipitiwa..

I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale

Hii hali imenichosha, amenitoka kabisa kwa sasa natamani kumove on

Nistay single until nipate the right one

Sasa naombeni ushauri je nimwambie au ni move on kimyakimya ye akija kustuka akute mi tayari niko na maisha mengine ama nifanyeje 😒

Msinipopoe wala hata msiulize Id yangu ya samani ni ipi
shida yako kuu ni pale tu ulipoamua kuwa na mume wa mtu kwani ulikosa kabisa kuwa na mwanaume ambaye hajaoa?
 
Utakoma!

Kwanini uanzishe mahusiano ili uombe hela!!?

Kwanini ujione una haki ya kuomba omba Hela Kwa mtu!! Kisa ni mpenzi wako!!?

Kama hiyo ni haki yako je kinyume chake kwanini usione no haki yako pia!!

Kwanini uwe na fikra tegemezi!!?
 
Hiv wanawake wa kiafrika Nan kawaambia kuwa wanaume ni Atm? Yaan mwanamke akiwa na wanaume ye ni kwaza pesa za wanaume tu. Badilikeni maisha ni kusaidiana kama hasa sasahiv siyo kumtangazia.
 
moyo sasa
Kwenye mambo ya msingi unapaswa utumie akili badala ya hisia ndio maana mnapigwa matukio wewe uoni kuwa unapoteza muda wako kuwa na mtu ambaye tayari ana familia yake huo muda wa miaka 5 si ungekuwa na wa kwako, baadae msiopoolewa mnajazana kwa mwamposa huyo Mungu atakusaidiaje hapo mwenzako kasharudisha majeshi kwa mkewe.

Nakuongezea kama utakuwa na mentality ya kuomba omba hela sana hata ukiachana na huyo mume wa mtu hautakuja kupata mtu sahihi kwenye maisha yako
 
Tafuta mume wako
Kama unapenda kuiba waume za watu ni uamuzi wako kaibe mwingine ukija kushtuka utajiuliza maswali mengi sana na kuchukia wanaume kumbe wewe ndio mkosi

Na kwanini huwa mnafanya kama deni na direct debit kwenye hela za wanaume
Kingereza hicho ndio tatizo, kama unaomba omba mda wote huo na umeshindwa kufungua hata mama ntilie basi sasa
Mawe rukhsa ila siwapendi waizi wa waume za watu
Ushauri ndio huo tafuta zako
 
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.

Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama washikaji tu baadae tukakubaliana tuwe na mahusiano tumeenda vizuri sana lakini tangu huu mwaka jana mwishoni baada ya kuona am into him mazima jamaa ni kama kachange..

Ukimuomba hela kila siku hana😂😂anaforce fantasy za ajabu ambazo ukikaa ukiwaza unaona kabisa si sawa, hajali tena unaweza mwambia unaumwa na hata asiulize unaendeleaje na wala asitake kujua hali yako unless umkumbushe bdo atajifanya sorry nilipitiwa..

I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale

Hii hali imenichosha, amenitoka kabisa kwa sasa natamani kumove on

Nistay single until nipate the right one

Sasa naombeni ushauri je nimwambie au ni move on kimyakimya ye akija kustuka akute mi tayari niko na maisha mengine ama nifanyeje 😒

Msinipopoe wala hata msiulize Id yangu ya samani ni ipi
Una matatizo we mdada
 
mimi kwa kweli bora uwe na cha kwako kimoja naona haya mavitmbua takiwa mengi kwanza mikosi, kumaliza nguvu zako tu, magonjwa.

Achana naye tafuta wa kwako ishi vizuri.𝐈𝐥𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐟𝐚𝐧𝐭𝐚𝐬𝐲 𝐮𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚.@poor Brain dronedrake
 
Kudate na mume wa mtu ambaye hana hela ni matumizi mabaya ya dhambi..
walisikika mabinti wa chuo🤒🤒
 
Akajilipue hospital tu huyu
Jinga sana yaani.
Huyu ndo anasababisha wanawake tuonekane hatuna akili..
Angekuwa ni mume wake tungeelewa sasa anamlalamikia mume wa mtu. Utadhani amelazimishwa awe nae pambav sana.

Story kama hizi ni za kumsimulia shoga yako na si kuleta hadharani kama hivi ni kujichoresha.
 
mwaya me siwezi kukujudge wala kukulaumu, ila kabla udate mume wa mtu unatakiwa ujue upendo wake huwa ni wa muda siku ukiisha anaenda zake kwa mwingine
hapa wanaume wote watakuchamba kwakua umesema hakupi hela ila aslimia kubwa na wao ni waume za watu na wana michepuko kama yote na wana honga vizuri tu

Ila kama unadate haijalishi unadate mume wa mtu au hajaoa ila ni mtu mko na mahusiano kukuhudumia lazima hata kama hana hela 😀 😀 2500 hawezi kukupa aah hapana bhana sasa tutaaminije kama anakupenda bwana

alafu ukute ulimzoesha hivyo jikaze tu mwali sio kwa ubaya, huyo ashapata mwingine hawezi tena kukuhudumia mamdogo aunty ondoka kabla upate mimba uwe single mom

achana na waume za watu tafuta kakijana kako kakivuruge mvurugane maisha yaendelee😀😀😀
 
Yani unatumika tu kama karatasi na ww bila tabu unakubalikubali tu, shida Nini kwani? Ni njaa ama?, by the way kwanini unataka pesa za mume wa mtu?...pole sana.
 
Jinga sana yaani.
Huyu ndo anasababisha wanawake tuonekane hatuna akili..
Angekuwa ni mume wake tungeelewa sasa anamlalamikia mume wa mtu. Utadhani amelazimishwa awe nae pambav sana.

Story kama hizi ni za kumsimulia shoga yako na si kuleta hadharani kama hivi ni kujichoresha.
Ni kweli kabisa hawa ndio wachawi sasa
Bila Soni anasema siku hizi hanipi hela kama zamani
Halafu sijui kwanini anajionyesha kasoma pia na elimu anaitumia kwa utapeli

Mimi ninajua kuna watu wengi tunawaona ni wazima kumbe wana wehu wa aina fulani
Inasikitisha sana
 
Jinga sana yaani.
Huyu ndo anasababisha wanawake tuonekane hatuna akili..
Angekuwa ni mume wake tungeelewa sasa anamlalamikia mume wa mtu. Utadhani amelazimishwa awe nae pambav sana.

Story kama hizi ni za kumsimulia shoga yako na si kuleta hadharani kama hivi ni kujichoresha.
make hapo kwanza nicheke
 
Back
Top Bottom