Ukimuomba hela kila siku hana

Ukimuomba hela kila siku hana

"Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama washikaji tu baadae tukakubaliana tuwe na mahusiano"

👆👆
Achana na mume wa mtu.

Kwa hiyo aache kuihudumia familia yake halafu akuhonge wewe kimada mchepuko tena kwa lazima?

Huna aibu?
 
Upo kwenye mahusiano na mume wa mtu miaka 5 alafu unataka uachane nae uwe single hadi pale ambapo utampata mpenzi wako wa kudumu???!!! Hivi wanawake huwa mna akili gani aseee??!!!!!

Unaelekea kwenye ujane alafu unasema haujaolewa ?!!! waoaji kazi wanayo.
 
Tatizo mwanamke unaingia kwenye mahusiano ukiamini yatakutoa kimaisha. Jitahidi ufanye kazi zako na kupata hela ya kukusaidia kimaisha. Ukichukukia mahusiano kama sehemu ya kufaidika kimaisha siku zote hautaona unapata mtu sahihi
Pia kama ni mme wa mtu hutakiwi kuwa naye kimahusiano. Yeye ana wa kwake na attention yote anampa mke wake. Hawezi kujigawa.
Mwamba hii comment yako ndio inatakiwa ifunge uzi upote nondo haswa
 
Kuna mwalimu mmoja alikuwa anatufundisha mabinti jinsi ya kujitunza mpaka tutakapoolewa. Akasema sometimes mwanamke anaweza kuwa Malaya hii huwezi kumzuia, akaongeza " Ukiamua kuwa Malaya Fanya umalaya kweli na ufanye umalaya wa faida, sio unakuwa Malaya grade 0 bila faida"

Nilichotaka kukwambia Dada ni achana na mume wa mtu ni dhambi na laana kabisa. Lakini kama umeamua kutembea na mume wa mtu hatukuzuii bali tembea nae kwa faida usiwe homewrecker grade 0.

So kuhitimisha achana na kutembea na waume za watu binafsi nasema ni tabia chafu dada move on na maisha yako kashakuona huna jipya tena ndio maana hakupi hela. Move on kimya kimya hakuna haja ya kumwambia.
 
Back
Top Bottom