Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Unapotoa stament ambayo itageuka kuwa sheria then hakikisha unabalance msemo wako. Mfano hapo umesema "Mwanaume asipokupenda hakupi hata senti" so katika huu msemo ume assume wanaume wote wanapesa nyingi sana zipo sehemu ambapo kuna ambao wanamapenzi ya kweli huwa wanazitoa na ambao hawana mapenzi ya kweli huwa hawatoi hata senti.Mwanaume asipokupenda hakupi hata senti…..au huenda hana kweli cute….jitahidi kujihudumia mwenyewe kwa kidogo ulichonacho.
Kwann usiseme, "Ukiona mwanaume ana kipato kizuri, ana akiba ya kutosha ya fedha na anatumia kwa wanawake wengine ila kwako hakupi then jua huyo mwanaume hajiskii kukujali" why unakuwa mchonganishi.