Ukimuomba hela kila siku hana

Tumekusikia wakongwe humu
Umepiga palepale kwenye mshono
Huyu anaweza kuondoka na mimi kwa ushauri wako ila sitaki asije kuniambia siku simpi hela kama zamani wakati nimepata kadogodogo
 
Ndo wanawake wa siku hizi hawa, kazi yao ombaomba. Sasa mme wa mtu unataka akuhudumie ww? Nyie ndo mnazalishwa na kuachwa because you've nothing to bring on the table
 
I tried kumuacha but anaomba msamaha with alot of promises na ukishamsamehe anarudia yaleyale

Ww ndo ushaachwa tayar kabla hata ya kuwaza hayo. Kingine unachotafuta ni kuwa singo maza wa baadae, yaan unajua kabsa kuwa ww ni mchepuko ni huyo ni mume wa mtu alaf unataka kujipa nafasi ya mke kweli?

Duuh ivi hyo miaka 5 upo naye kwenye mahusiano mume wa mtu kweli?
Hivi huo muda uliopoteza si ungeshapata mume wako mtarajiwa mkaishi maisha yenu kuliko hicho unacho ng'ang'ania dada.

Au una matatizo nn ndo 7b hutaki kuolewa?
 
Id yako ya nyuma tushaijua. Back to topic yuko bsy anahudumia familia yake baada ya kugundua alikuwa na kausha damu
 
Kwahiyo upendo wa mtu mnaupima kupitia kukupa hela sana? Kwa stahili hii mtatumika sana aisee
 
Hili taifa linalea watoto wakike wapumbavu sana. Ona sasa wewe namna ulivyo mpumbavu, unakuja kulalamika kuhusu mume wa mtu as if ni jambo la kawaida mwanamke kutoka kimapenzi na mwanaume ambaye si mume wake na ni mume wa ndoa wa mtu.

Huu ni upuuzi ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…