Ukimuomba hela kila siku hana

Mwanaume asipokupenda hakupi hata senti…..au huenda hana kweli cute….jitahidi kujihudumia mwenyewe kwa kidogo ulichonacho.
Unapotoa stament ambayo itageuka kuwa sheria then hakikisha unabalance msemo wako. Mfano hapo umesema "Mwanaume asipokupenda hakupi hata senti" so katika huu msemo ume assume wanaume wote wanapesa nyingi sana zipo sehemu ambapo kuna ambao wanamapenzi ya kweli huwa wanazitoa na ambao hawana mapenzi ya kweli huwa hawatoi hata senti.

Kwann usiseme, "Ukiona mwanaume ana kipato kizuri, ana akiba ya kutosha ya fedha na anatumia kwa wanawake wengine ila kwako hakupi then jua huyo mwanaume hajiskii kukujali" why unakuwa mchonganishi.
 
Tafuta kazi usitafute right one...
 
Yuko serious na majukumu ya familia yake, akiwa free atakuwa anakukumbuka!
 
Vikupe tulieni hatuna hela . Mnajua kuhudumia warembo 6 mchezo [emoji23][emoji23]
 

Daaah yaani mume wa mtu afu unamganda?😂😂 kumbuka ana familia huyo,jiongeza tafuta wako maana huyo wa mwenzako na anazidiwa na majikumu ya kuhudumia familia yake,hukustahili kulalamika juu ya mume wa mtu😂
 
Mke wake ana kazana na maombi huko alipo
Ndo maana unaona kuna kipindi anazingua kuna kipindi anapoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…