Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Wadada wote wawili wako vizuri kwa 'jambo lile' shida kubwa kwa kijiwe chetu ni kuwa Ukiingia pale,ile 'Vanilla 'inakurukia mdomoni..sasa ukilamba tu,Ubongo wako unayeyuka!Duh hata sielewi nimeandika nini..
 
ACHA UPOTOSHAKI BUNGE LA TANZANIA LIMEMSHINDA NINGEELEWA KM ANGEWATENDEA HAKI WATANZANIA KWA KUISIMAMIA SERIKALI
 
Si ni wewe uliandika"japo 2025 tumepanga twende na mwanamke ,kwanini tusiende na mwanamme halafu akafuata mwanamkee!!?

Mara "nimesikia Dr. Mpango ndio mpango mzima!!

Mbona voice zako from within ni nyingi sana!!?
 
Na hili nalo litazamwe
 

Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 1
Yani chanel 10 hii iwe na kipindi cha elimu ya kutoa haki?!! Sijuii ngoja tuine nitakuwa wa kwanza kusikiliza..
Chanel 10=ccm; ccm na HAKI ni kama maji na mafuta.
ukitoa kweli elimu ya HAKI hiko kipindi hiyo jumapili ndio kitakuwa kwa mara ya kinaruka na mara mwisho kuruka.
Mungu akuongoze.
N.B sipingani na uanasheria na uwezo wa kisheria kama wakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…