Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Mi nadhani kuna Namna huwa wanapangwa. Sio utashi wao
 
Hakuna cha dada mdogo wala mkubwa hapa
Kwanza ni chawa pia ni dikteta
Bunge limekuwa la hovyo sana kupitia yeye

Mwanamke wa dhahabu tulie naye nchi hii ni yule mama wa kichaga mwanaharakati
Kama tutafikiri kuhusu rais mwanamke yule mama akumbukwe ni mtu makini sana

Tuachane na mentality kwamba mchaga asiwe rais
Ukikutana na mtanzania kabwela tu asiyejua lolote zaidi ya simba na yanga basi kwenye siasa atakuwa anaelewa kwamba mchaga atakiwi kuwa rais hii ni chuki tu wanasiasa na kampeni zao walifanikiwa kuwaaminisha watu
 
Hata we pascal kumbe akili zako huwa ni finyu kiasi hiki. Mi niliami ishwa kuwa pascal huwa ni deep thinker kumbe uongo. Sasa kuongea kingereza mbele ya wazungu ndo uwezo mkubwa.

Tambua kuwa "Achievements are not measured in words". Hata mwijaku ni muongeaji mzuri tu
 
Tulia hana uwezo [kwangu bado hajadhihirisha uwezo huo] .

Kwanini? Jibu ni jepesi Tulia anaongoza bunge la chama kimoja wote kila kitu cha mama, barabara za mama, SGR ya mama n.k

Tulia tutampima endapo atashinda kwanza kama angeshinda kihalali sio kwa ule ushenzi wa 2020 , na pia bunge likiwa na mawazo mbadala.
 
Huyuhuyu aliepo alipata urais kwa kudura za mwenyezi Mungu, Tulia naye atulie kama jina lake labda kudura za mwenyezi Mungu zinaweza zikampitia,kwa uhalisia wenyewe wote hawafai kushika na fasi ya urais,kwa kuwa hata dini zenyewe zinakataa mwanamke kuwa kichwa.
 
Tatizo ni huyu hapa chini:
 
Samwel Sitta alikuwa ni Habari nyingine ! (RIP)
Mzee wa Spidi na Viwango 🙏🙏
 
Nadhani Dr.Tulia Akson ni msomi mahiri na nguli wa sheria kitaifa na kimataifa.
hilo sio la kudhani, ni hakika
Ni mtu wa utaratibu, regardless unafurahia au hufurahii anachokifanya
naunga mkono hoja kazi ya uongozi ni kuwajibika tuu regardless watu wana kufurahia or not, as long as unawajibika
au kuisimamia kwa niaba ya waTanzania, ilimradi havunji sheria bali anazingatia zaidi maoni ya wawakilishi wa wananchi walio wengi wengi wanasemaje.
Naunga mkono hoja,
Kufanya kwake kazi nzuri katika bunge la Tanzania, ndiyo hasa msingi wa kufanya kwake vizuri zaidi huko duniani kupitia IPU
hicho alichokifanya IPU, amewahi kukifanya Tanzania?
Sioni chochote ambacho eti Dr.Tulia Ackson anaweza kushinikizwa kukifanya kwakua mtu au kikundi Fulani cha watu wanaona ni batili na ni kinyume na katiba.
nakushauri tutenganishe hoja za kisiasa na za kisheria, issues za ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu ni issues very serious,aliyeutangaza huo ubatili sio mtu au kikundi cha watu, ni mhimili wa mahakama, serikali imetunga muswada batili kinyume na katiba, bunge likatunga sheria batili, rais akapelekewa na kuisaini,kwavile rais sio mwanasheria, hategemewi kuujua ubatili wa katiba na ubatili wa sheria hivyo anawategemea wasaidizi wake wa sheria ambao ni ama wanajua lakini wanafanya makusudi, ama ni vilaza wa ajabu!
Dr Tulia Akson ni miongoni mwa watu wanaoheshimu sheria na katiba ya nchi kwa kiwango cha juu mno. Huenda hilo ndilo kosa lake, na huenda hilo ndilo huwakera baadhi ya watu.
sii kweli!ameachaje haya madudu ya ajabu yakapita mikononi mwake?
Na ikiwa panahitajika sheria mpya, marekebisho au masahihisho yoyote kwenye sheria,
Ukimuona mtu anasema ikiwa patahitajika sheria mpya, huyo ni wa kuhurumiwa!, sisi tunaendelea kumshukuru Dada Mkubwa kwa mabadiliko ya sheria,
utaratibu uko wazi, ufuatwe inavyostahili, kuliko kutumia shortcut kumlaumu au kumsingizia Dr.Tulia Akson dhidi ya kisicho kufurahisha wewe na pengine wengine.
duh 。。。!,
Wabunge anao wasimamia Dr Tulia wakiamua ni wananchi wameamua. Yeye ni nani apinge uamuzi wa wanainchi?
naunga mkono hoja
Iweje ashinikizwe Dr.Tulia Akson kwenye maamuzi ya wananchi kupitia wawakilishi wao mjengoni?
Wenye nchi ni wananchi, ndio wenye maamuzi ya mwisho wanataka nini, ndio mabosi tuliomuajiri Dada Mkubwa,kwa kura zetu na sio tuu tunamlipa tax free mshahara wake, pia tunamlisha ,tunamvishanakumhidumia kwa kila kitu kwa kodi zetu hivyo ni mtumishi wetu, tunamtuma tunachotaka, ndio itakuwa Tulia?ndio maana nimeuliza hapa tumshinikize?。
Infact tuendako, baada ya Dr.samia kumaliza ngwe zake za uongozi,
nakushauri zungumzia ngwe yake sio ngwe zake kwasababu hapangi yeye,anaoangiwa na Mpangaji hivyo kwanza nimeunga mkono Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! hivyo sii lazima awe Dada Mkubwa, hata Dada Mdogo anaweza,na pia kuna HII kitu!, sio ya kudharau hata kidogo!。
Rais akiwa Dr.Hussein Mwinyi, basi Dr. Tulia Akson atakua ama makamu wa Rais ama waziri Mkuu. Na ikiwa Rais ni Dr Emmanuel Nchimbi, basi ni dhahiri Dr.Tulia Akson atakua waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Tanzania 🐒
Nimeupenda uchambuzi wako, this is what is going to happen soon, 2030 ni fursa kwa wapinzani Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

asante sana kuchangia uzi wangu kwa michango very objective。
thanks
P
 
Umesema ukweli mchungu, Dada yake Paskali huyo Tulia seems alichemka huko, Jamaa wakamjia juu. Huu ni mwanzo Tu, watarudi tena...Tulia alikosea na huo Ndio ukweli kama enzi za AshaRose Migiro
Mkuu ngoja nikutonye, unahufahamu mkataba mwitongo wewe? ,
Asha alidangwanywa aje Bongo, atapewa cheo kikuu kama sio PM, lakini missions ilikuwa ni kumuondolea western investors,
Asha alishaanza kupata supports za western investors, na hii ilikuwa threat kwa waswahili gang

Si unajua hapa Bongo bila investors hutobi uchanguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…