Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Wasomi wa nchi hii wameshindwa kusaidia kabisa
Ni kweli wasomi wa nchi hii wameshindwa kuisaidia nchi ila sio wote, tupo akina sisi tunasaidia sana kupitia kalamu zetu na kupaza sauti zetu。
kuna haja ya kutafuta mfumo mpya kabisa wa kuwezesha watu wetu kupata ufahamu wa kupambana na maisha yao
true
, elimu ya kimagharibi imetufundisha kuandika na kusoma tu ila maarifa waliondoka nayo wakoloni!
true
by the way jina lako linanikumbusha Bavon Marie Marie na bendi yake ya Negro Succses album yake ya Maseke ya Meme, nimezitwanga sana nyimbo zake enzi nikiwa a radio Dj Rtd
View: https://youtu.be/EbnVAwCJ8t0?si=D0RyYB3GW3kfMqrEP
 
Shukrani sana Ndugu yangu, next time ukiwa free niongezee nyama Kwenye hili la investors, la mwitongo agreement nalifahamu japo kwa sehemu
 
We naye unatia aibu kabisa, kujipendekeza kwa umri wako + elimu tena umeishi nje lakini unaota uteuzi kila siku
Benja, Benjamin Netanyahu ,ni vile tuu watu humu hatujuani in real life, wote wanaodhani Pasco ni mtu wa kujipendekeza kutafuta uteuzi, nimewasamehe bure maana huo ndio uwezo wao wa uelewa wao!
watu sio tuu tumeandika humu jf Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! hadi kwenye mainstream media
P
 
Meza zinaweza kupinduliwa tu.
Watu tuko tofauti tofauti tuna taste tofauti tofauti, ukikutana na kitu cha type yako ndio mtu unaweza kuchanganyikiwa ukajikuta unaweza kupindua meza! 。

Mfano mimi ni mtu ninayependa sana kula kula misosi heavy tofauti tofauti Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? lakini sio kila ukiona tuu msosi ni unakimbilia kufakamia!, vyakula vingine haviliki
Ovyo onyo ni special menu for special people.

Ila mimi pia ni binadamu, na binadamu wote ni wadhaifu ,hivyo na mimi kama binadamu mwingine yeyote kuna maeneo yangu ya udhaifu wangu nikikutana nayo mimi hoi!, eneo kama hili Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hapo ndipo labda mtu unaweza kuzidiwa na kuelemewa hadi kujikuta unaweza 。。。
P
 
Najua mikato yako ni ile rangi ya mtume,fungashio lililo nona na macho kama wale mabikra sabini wa peponi.
 
Mkuu Paschal tuseme ukweli, hivi hata nje kuna kusifia kijinga badala ya kushauri na kukosoa kama sisi Tanzania tunavyofanya? Ulisema umeishi Ulaya, Kazi uliyokuwa unaifanya 2019 kurudi nyum ndiyo ilikuwa maisha ya Ulaya.
 
na macho kama wale mabikra sabini wa peponi.
Duh..., we ni noma!, umeyajuaje macho ya wale ma bii70 wa peponi?, kuna mtu alikwenda akawaona na kurudi kukuhadithia kuhusu fungashio lao na macho yao?!, hivyo unamaanisha sio tuu hao ma bi70 wana fungashio kama yule Dada, bali pia hata macho yao ni kama ya yule Dada?.
P
 
Mkuu Paschal tuseme ukweli, hivi hata nje kuna kusifia kijinga badala ya kushauri na kukosoa kama sisi Tanzania tunavyofanya?
Kusifia is relative kama beauty, huwezi, kusema kusifia kijinga, anayesifu ndie anajua anasifu nini, one man's meat is another man's poison!

Ulisema umeishi Ulaya, Kazi uliyokuwa unaifanya 2019 kurudi nyum ndiyo ilikuwa maisha ya Ulaya.
Nimeishi ulaya na sasa family iko US, every Festival season niko kule.
P
 
Tofautisha uwezo wa kuongea na kuongoza chief.
 
Tofautisha uwezo wa kuongea na kuongoza chief.
kazi ya uongozi is to lead by examples,kuna kazi ni za kuongea tuu, kati ya wakuu wetu wote watatu wa mihimili, ni Dada mdogo pekee ndio anaweza kuongea kivile, Dada mkubwa hawezi!。
kuna kazi uwezo wa kuongea ndio uwezo wa kutenda,ndiko ku Tenda kwenyewe。
P
 
Kusifia is relative kama beauty, huwezi, kusema kusifia kijinga, anayesifu ndie anajua anasifu nini, one man's meat is another man's poison!


Nimeishi ulaya na sasa family iko US, every Festival season niko kule.
P
Sasa mkuu why una-behave kama UVCCM? Tunatakiwa kuisaidia nchi kwa kusema ukweli na siyo kukaa tunasifia tu, walipo shule wanajifunza nini kwetu? tunatakiwa kuwa na taifa la mijadala na siyo la kusifia tu
 
Kwa kipi alichowah kufanya kikaleta mabadiliko sasa. Maana unaweza kuwa na uwezo ukafungwa na mfumo vile vile. Mi nawaamini zaid watendaji kuliko wasemaji maana dunia imebadilishwa zaid na watendaji kuliko wasemaji. Hii ukifuatilia maneno na matendo ni sifur. Cjui kilimo cha kufa na kupona Cjui mkurabita cjui mkukuta cjui matokeo makubwa sasa. Hii yote ya nini sasa kama ni maneno juu ya maneno.
 
Kaupepo kamekubeba???
 
Shida yake ni kwamba kaligeuza bunge badala ya kuisimamia serikali analiongoza yeye kuitetea kama vile ndio kazi ya bunge.
Any way sababu za watanzania kumchagua kiongozi na africa kwa ujumla ni za kipekee.
Prof limumba anasema, africans are fascinated with people with no ideas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…