Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.