Maneno Yako yangekuwa ya kweli mbona ingekuwa balaa...kwakuwa ni maneno kama ya kwenye kanga haaaa yupo yunapiga bia tu hapa😄😄Na wewe utakufa fukara wakutupwa

MI nikionaga karungu yeye tu sehemu yoyote au kuja nyumbani kwangu basi riziki sio mwajumwa pesa zinaiingia kama miujiza.
Wewe ni mchimbaji?? Uliza mchimbaji barrick ni wawekezaji sio wachimbaji
Imani za kishirikina tu hizo
Wengine wana amini ukifunika koleo unakuwa unakaribisha mikosi.
Fanya hivi kaanze biashara sokoni kati kati utakuja na emoji nyekunduManeno Yako yangekuwa ya kweli mbona ingekuwa balaa...kwakuwa ni maneno kama ya kwenye kanga haaaa yupo yunapiga bia tu hapa😄😄
😄😄Fanya hivi kaanze biashara sokoni kati kati utakuja na emoji nyekundu
Ujuaji usikuwa na maana umefanya utafiti umeuliza wachimbaji wangapi na wamekwambia vp kuhusu huyo nyoka ??Mhhh, umesemaje eti mleta mada?
Kwamba nyoka asiuwawe?
Wewe ulikubaliana wapi na huyo nyoka kuwa atakuja au ulimpa lini mualiko kuwa atembelee shimo lako?
Nachotaka kusema hapa ni kuwa unapotosha watu...
Nyoka anaweza akawa nyoka wa kawaida na anaweza akawa wa kiroho, na nyoka huyo ikiwa amekuja kwa maagano uliyowekeana wewe na huyo nyoka hicho ulichokizungumza ndio kinawezekana, la sivyo uko hapa kupotosha watu...
Nyoka ni kifaa cha kiroho ukiachana na anavyofahamika kikawaida, kwa hhiyo ujio wake hauingiliani na shimo ikiwa (hakualikwa)!
Haka nikashenzi tu hakajui loloteMhhh, umesemaje eti mleta mada?
Kwamba nyoka asiuwawe?
Wewe ulikubaliana wapi na huyo nyoka kuwa atakuja au ulimpa lini mualiko kuwa atembelee shimo lako?
Nachotaka kusema hapa ni kuwa unapotosha watu...
Nyoka anaweza akawa nyoka wa kawaida na anaweza akawa wa kiroho, na nyoka huyo ikiwa amekuja kwa maagano uliyowekeana wewe na huyo nyoka hicho ulichokizungumza ndio kinawezekana, la sivyo uko hapa kupotosha watu...
Nyoka ni kifaa cha kiroho ukiachana na anavyofahamika kikawaida, kwa hhiyo ujio wake hauingiliani na shimo ikiwa (hakualikwa)!
Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.View attachment 3446236
Rangi yake ya nyoka tu Tayari ni utajiri Aise, anang'aa kidhabu kabisa 😋😋Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.View attachment 3446236
Nani mshenzi?H
Haka nikashenzi tu hakajui lolote