Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

kinjekitile aliwakusanya hivihivi Wanakijiji na kuwaaminisha Maji yanazuia risasi Lakini Ngozi nyeusi hatutaji kujifunza tunaamini uchawi kuliko uhalisia, Nyoka sio bibi yako akikudonoa utasema anakuwekea madini ya Bahati nasibu kumbe Sumu..Ni akili za Ukilaza wa kiwango cha SGR
Uelewa wako ni mdogo sana
 
Sio madini tu bali sehemu yeyote inaweza kuwa shamba n.k mara nyingi hua niishara ya bahati au baraka kma ulimuua nadhani misha yako hadi sasa sio mazuri najua utabisha ila ukweli utabaki maishani mwako
Inawezekana kweli maisha yangu yamekuwa magumu hasa kwa vile bado ninaishi Tanzania ingawa huku ninakoishi, mimi ni kati ya wenye unafuu wa maisha.
 
We umeshawahi kufanya kazi kwenye migodi ya Barrick? Katika kitu ni marufuku kuua ni nyoka pamoja na mnyama yoyote utakaemuona eneo la mgodi huwa hawaui, kuna wataalam wapo kwaajili ya ku deal na hivyo viumbe kuviondoa vikiwa hai.

Kuua hao wadudu, sababu za kimazingira wanasema ni makosa. Nyinyi waganga na wafanya matambiko, mnataka kutuambia tusiue sababu za kimazingara. Uchawi unawasaidia nini?

Hivi zile digger au damp truck nyoka akijichanganya zinafanyaje? Nyoka wanauwawa sana. Msifanye kama ndio matambiko yenu ya mining.
 
Inawezekana kweli maisha yangu yamekuwa magumu hasa kwa vile bado ninaishi Tanzania ingawa huku ninakoishi, mimi ni kati ya wenye unafuu wa maisha.
Ulipishana na kontena la pesa kama hujui
 
Hua hawaruhusiwi kuua kiumbe chochote unajua ni kwanini ukipt akili njoo uniulize

acha za kupondea watu, umeleta mada wasilisha na kujibu watu wajifunze. Kuleta mada na kuweka mgomo huwa inaonyesha labda hujui kitu. Wasomaji wengi kuliko mmoja mmoja nayepinga. shuka usomwe..pita zinazokusanifu kujua upoje..
 
Kuua hao wadudu, sababu za kimazingira wanasema ni makosa. Nyinyi waganga na wafanya matambiko, mnataka kutuambia tusiue sababu za kimazingara. Uchawi unawasaidia nini?

Hivi zile digger au damp truck nyoka akijichanganya zinafanyaje? Nyoka wanauwawa sana. Msifanye kama ndio matambiko yenu ya mining.
Inawezekana wakauwawa kwa ajali ila kwenye hiyo migodi ya Barrick unayoiongelea ni marufuku kuua nyoka makusudi iwe ni sababu za kimazingira au kiimani.
 
Hua hawaruhusiwi kuua kiumbe chochote unajua ni kwanini ukipt akili njoo uniulize
Environmental protection. That's it. Ni vile wanafanya tathimini ya uharibifu mazingira kabla ya kupewa kibali cha kufungua mgodi.
 
Elewa kitu kimoja nimarufuku kuua nyoka huyo, fny utafiti wako majibu utayapata
Utafiti gani?

Haya kwakuwa wewe una urafiki na hayo manyoka, naamini yameshakutembelea huko mgodini (kama ulivyojielezea) mara nyingi sana, sasa tuambie una bilioni ngapi kwenye account yako?

Next time uache kubeba maimani yasiyokuwa na kichwa wala miguu unless kuna mtu wa mambo ya kiroho alifika kwenye mgodi wako akakufanyia taratibu zake akakwambia kitakuja hiki na kile...

Alafu ni kwamba sijataka kukwambia tu huyo nyoka ni ishara ya nini na anatumika kwa shughuli gani, nimekaa kimya, sio kwamba sijui, unapotosha watu humu, uache kubeba vitu usivyovielewa...
 
Hujui lolote watoto wa masingle maza sijui vp
 
Hata hivyo, mila zenu, zinawrza sifanye kazi kwa mtu wa mila zingine
 
Back
Top Bottom