Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

Nachimba than you ever will. Ujinga mlionao ni kiwango cha lami. Kukosa elimu, exposure na mitaji ni chanzo cha yote haya. Go on.
Sasa wewe unaelimu gani kutushinda sisi anyway usikute hata chuo uliishia njiani 🤣🤣
 
Msiwe wabishi mimi nimeenda kwenye machimbo ya dhahabu migodi mikubwa ya Barrick ikiwepo Bulyanhulu pamoja na machimbo madogo ya dhahabu mengi yaliyopo wilaya ya Kahama na Geita pia.

Ni kweli huwa wachimbaji wanaimani hiyo na nyoka huwa hauliwi migodini ukitaka ufukuzwe kwenye machimbo basi uwa nyoka watu wakuone utafukuzwa hapo wanaamini umeleta mkosi na madini hayatapatikana kwahiyo ni marufuku kuua nyoka.

Kwa mzungu Barrick yeye pia ni marufuku kuua kiumbe hai chochote ikiwepo nyoka na nyoka wapo wengi sana hasa hawa Puff adder (kifutu) na ukimuona huruhusiwi kumuua unatakiwa uite wataalam wa kuja kumkamata kumuhamisha akiwa hai, ukiua unaweza kufukuzwa kazi
Wachimbaji wana imani nyingi zisizo na maana
Mfano,
1.usipige miluzi mgodini
2.Usifunike beleshi
Na nyingune nyingi, nilichojibu katika post yangu ya kwanza kumjibu mleta mada, ukirejea jibu langu utaelewa nimeelezea vizuri kuwa nyoka wapo wa kualikwa, kutokana na maagano yako...
 
Sasa wewe unaelimu gani kutushinda sisi anyway usikute hata chuo uliishia njiani 🤣🤣

Kama chuo ulifundishwa kuhusu huyo nyoka basi ulienda kusomea ujinga elimu yako haijakusaidia hata kidogo. Mna ujinga endelevu nyie.
 
Kama chuo ulifundishwa kuhusu huyo nyoka basi ulienda kusomea ujinga elimu yako haijakusaidia hata kidogo. Mna ujinga endelevu nyie.
Nyie ndo wale mzungu amekuja africa amekwambia mila na desturi zetu watu weusi ni ujinga lkn mzungu huyohuyo anakwambia eti ushonga na usagaji ni ujanja na ni haki ya binadamu ni upuuzi kuendela kbshana na mwendawazi
 
Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.View attachment 3446236
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.😆
 
Swali, wewe ni mchimbaji??
1000017038.jpg
 
Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.View attachment 3446236
Sio kweli.
Huyu nyoka hana uhusiano wowote na madini. Mimi nimewahi kumuua.
 
Sio kweli.
Huyu nyoka hana uhusiano wowote na madini. Mimi nimewahi kumuua.
Sio madini tu bali sehemu yeyote inaweza kuwa shamba n.k mara nyingi hua niishara ya bahati au baraka kma ulimuua nadhani misha yako hadi sasa sio mazuri najua utabisha ila ukweli utabaki maishani mwako
 
kinjekitile aliwakusanya hivihivi Wanakijiji na kuwaaminisha Maji yanazuia risasi Lakini Ngozi nyeusi hatutaji kujifunza tunaamini uchawi kuliko uhalisia, Nyoka sio bibi yako akikudonoa utasema anakuwekea madini ya Bahati nasibu kumbe Sumu..Ni akili za Ukilaza wa kiwango cha SGR
 
Back
Top Bottom