Wewe ukiambiwa kalete kiganja Cha albino hauchelewi kwa imani zako hizi.Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.View attachment 3446236
Nyoka ni alama ya werevu/ hekima/ busara/ Bahati/ afya/ ustawiHuyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa.
Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na ukimuona mara moja hutokuja tena kumuona kamwe.
Onyo: kuna watu wanajifanya wachaMungu sana ikumbukwe kbl ya babu zetu kuvamiwa na wakoloni walikuwa na imani zao na zilikuwa zinawasaidia kwenye mishe zao.
Mwisho: kila kitu kinautarabu wake, nimezaliwa machimboni nimekulia machimboni sibahatishi.View attachment 3446236
ata shambani pia anaweza kuonekana yeye hn shida hata ukimuua hua sio msmbufu ametulia tu ila kitakacho kupata baadae😁Vipi kama huyo Nyoka ataonekana kwenye shamba la mahindi,
Ina maana mavuno yatakua mazuri? au yeye ana deal na Madini tu?
Wewe ni mchimbaji?? Uliza mchimbaji barrick ni wawekezaji sio wachimbajiUshirikina wa sisi watanzania. Kila kitu tunakihusisha ma mazingaombwe. Ingekuwa kama ndio hivyo, Barrick na wengine wasingechimba dhahabu.
Maana kuna waliofikia nyoka kama hao na vinginevyo