Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

kuna watu hata waleje hawatokaa wanenepe nina mifano ya jamaa zangu wawili wale jamaa wana miili kama hiyo na wanakula lakini miaka yote hawanenepi halafu kuna mimi ambaye nakula kidogo lakini nikikaa kizembe kilo zinakuja kwa kasi mno.

So nadhani ni issue ya mwili wa mtu na mtu japo balance diet ni muhimu sana kwa afya ya mwili kwa ujumla .
 
Ndio kula kula ovyo kunaleta magonjwa tena chumvi ndio mbaya zaidi
Wapi wewe.............watu mkiwa hamna pesa za kuishi vizuri utasikia kuna kiama mara ooohh anasa .........kura vizuri wewe kira mtu kaumbwa kwa udongo wake.........ndio maana anaweza kufa tajiri na masikini akaishi ......na kifo ni fumbo kwa kira mwili kira mtu ana tarehe yake
 
Mpaka nikawaza inawezekana Mzee Warioba ni mfuasi mzuri sana wa Prof. Janabi! Ahahahahaha!!!
 
Ra
Ra
Ra
Ra

Malizia pakti la Chumvi uanze kuuguza tumbo
 
Mpaka nikawaza inawezekana Mzee Warioba ni mfuasi mzuri sana wa Prof. Janabi! Ahahahahaha!!!
No. Warioba yupo very strong na hata alivyo unamwona. Janaba yupo weak mwangalie usoni hasa ukikutana naye live. Na umri wanafanana ni age mate hao.
 
No. Warioba yupo very strong na hata alivyo unamwona. Janaba yupo weak mwangalie usoni hasa ukikutana naye live. Na umri wanafanana ni age mate hao.
Japo nimejitahidi kugugu kutafuta umri wa Prof. Janabi na kukosa, naamini Prof. Janabi aidha anaweza akawa mtoto wa Mzee Warioba kiumri au basi akawa ni Mdogo wake wa mwisho mwisho.
 
Sifahamu kabila ya Idi Amin. Hata wamasai wapo kama janabi lakini si wote.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Ukiambiwa Watanzania ni wafupi, inamaanisha wote ni wafupi au ndiyo "feature ya wengi?
Utaambiwa wafupi ni wajinga na Wagogo!Kumbe hata kwetu wapo tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…