Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Bibi hii hoja yako unailazimishia.Wamechomekea tu hao, huyo ni mtu wa Dodoma halisi. Na ni Mnubi kwa baba. Jina lake Mohamed Janabi. Labda huko namtumbo kajipachika au kapachikwa tu.
Kubali tu yaishe...BTW, sio lazima ujue kila kitu.