Upungufu wa kinga mwilini ni ugonjwa? Ukapata huo upungufu halafu usipate ugonjwa wowote ule, nini zitakuwa dalili za huo ugonjwa?Ukimwi unasabishwa na kirusi anaeitwa Retrovirus.
Hii ni moja wapo ya sababu muhimu ya kuufanya uwe ni ugonjwa.
Dawa ya ukimwi ni kuacha zinaa pia itasaidia kuepuka mambukizi mapyaARV zinafubaza virusi, haiviui, shida ndio ipo hapo.., walete zinazoua virusi kabisa
Wanasayansi wanasema Aids ni malnutrition na kwa mara ya kwanza ilitokea baada ya ww2 na haswa iliwapata watoto wadogo kwa kukosa lishe bora.Ni kwa njia ya nutrition (food na food supplements). Haya , sasa kwanini usipandishe kinga?
Ni kweli, ila hoja hapa sio hiyo..Dawa ya ukimwi ni kuacha zinaa pia itasaidia kuepuka mambukizi mapya
huo upungufu wa kinga mwilini umetoka na nini?, kama umetokana na mtu kuwa na maambukizi ya VVU.Upungufu wa kinga mwilini ni ugonjwa? Ukapata huo upungufu halafu usipate ugonjwa wowote ule, nini zitakuwa dalili za huo ugonjwa?
Miaka ya 90 waathirika wengi wa Ukimwi nchini Marekani walikufa.Madaktari wote wanajua!!!!!, kama unabisha muite daktari yeyote hapa jukwaani unaemjua, aje hapa, nipo namsubiri, aje abishee!!! Tatizo wako underspecific instructions kuhakikisha mashudu ya ARV yanaliwa kwa wingi kuliko chakula lishe. Then baadae wanakuuzia figo kwa milioni 200…..
Sawa, baada ya kupata huo upungufu, halafu akawekwa in a completely sterile isolation, kiasi asipate ugonjwa mwingine wowote, zipi zitakuwa dalili za hicho unachoita ugonjwa? Inawezekana ugonjwa usiwe na dalili kabisa? Kwanini tunahangaika sasa kama hauna dalili yoyote?huo upungufu wa kinga mwilini umetoka na nini?, kama umetokana na mtu kuwa na maambukizi ya VVU.
tayari huo ni ugonjwa wa ukimwi.
Na ajabu wanasayansi wanasema hao Retroviruses hata mbwa anao.Ukimwi unasabishwa na kirusi anaeitwa Retrovirus.
Hii ni moja wapo ya sababu muhimu ya kuufanya uwe ni ugonjwa.
Wacha weusi waendelee kuua wenzao as if wataishi wao milele.Madaktari wote wanajua!!!!!, kama unabisha muite daktari yeyote hapa jukwaani unaemjua, aje hapa, nipo namsubiri, aje abishee!!! Tatizo wako underspecific instructions kuhakikisha mashudu ya ARV yanaliwa kwa wingi kuliko chakula lishe. Then baadae wanakuuzia figo kwa milioni 200…..
ARV hazitibu Ukimwi , wala hazipandishi kinga ya mwili, bali for sure, zinaleta kidney na liver failure, na hiki ndicho huua waathirika…, uliza daktari yeyote, halafu rudi hapa akishakupa majibu, nakusubiri!!
Mimi huwa siamini haya mambo ya Ukimwi.Sawa, baada ya kupata huo upungufu, na asipate ugonjwa mwingie wowote, zipi zitakuwa dalili za hicho unachoita ugonjwa?
Utaambiwa viral load Bado haijawa kubwa kupelekea anybody's attacksUpungufu wa kinga mwilini ni ugonjwa? Ukapata huo upungufu halafu usipate ugonjwa wowote ule, nini zitakuwa dalili za huo ugonjwa?
Lakini utaanzishiwa ARV mapema. Sawa na mtu wa BP. Alaf mkuu ni Jana nilitoka kumweleza Mama Mmoja anaejitia mzungu pori kwamba Bahati mbaya miili ya binadamu Figo zao hazikuumbwa kuchuja sumu za dawa za Kila siku so ikilemewa zinafail Mungu angekuwa ameziumba Kwa ajili hiyo angeziwekea nguvu zisingekuwa zinafail Kwa kula madonge Kila siku.Utaambiwa viral load Bado haijawa kubwa kupelekea anybody's attacks
Aya wazungu pori na waumini wa dawa waje wabishe hapa. Mimi pia namfaham mzee aliyeacha dawa za BP mtoto wake anasema Kila siku anatafuna mbegu mbili za mlonge ni miaka Zaidi ya kumi tangu ameachaMimi huwa siamini haya mambo ya Ukimwi.
Kuna mshikaji wangu mmoja alizaliwa nao, alikuwa anakula fresh na dawa akawa anatumia tena tulikuwa tunamsindikiza na baadaye aliacha kutumia dawa.
Mshikaji mpaka sasa hivi akipima hana Ukimwi na hatumii madawa. Anakula vizuri anafanya mazoezi na kwa sasa hivi ana training boxing.
Ana mwili mzuri na wenye afya! Na ana nguvu hatari! Nilikuwa na training naye!
Yeye ni mtu wa boxing mimi ni na training karate (shaolinj kempo).
Hiyo deadline aliiweka nani?Tena zinaact kama Kinga ya kutengeneza ndio mana ukiacha kutumia usipokufa unaongezewa kipimo. Kama ulivyosema ukimwi una vichaka vingi Sana. Na Ukizingatia wamekufa wengi lakini unaweza Kuta methodology ya kuishinda ni ya kawaida Sana. Na hivi tunaelekea 2030 tutasikia mengi maana ndio deadline ya AIDS Officially.
Tulishangaa mara ya kwanza jamaa alivyokuwa hana Ukimwi. Tukasubiri miezi kadhaa kuchukua kipimo hana! Akachukua tena kipimo hana!Aya wazungu pori na waumini wa dawa waje wabishe hapa. Mimi pia namfaham mzee aliyeacha dawa za BP mtoto wake anasema Kila siku anatafuna mbegu mbili za mlonge ni miaka Zaidi ya kumi tangu ameacha
Yan mkuu kupotea Njia sio kosa ukiwa unatembea mahala kosa linakuja unaendelea kwenda huku unasema oooh nimeshapotea Wacha niendelee tuu Huko mbele Nimeshachanganya maana wanasema ivi na vile bla bla bla .... bila hata Kufanya intense analysis.Tulishangaa mara ya kwanza jamaa alivyokuwa hana Ukimwi. Tukasubiri miezi kadhaa kuchukua kipimo hana! Akachukua tena kipimo hana!
Tangu 2016 mpaka sasa hivi anadunda tu! Anakula fresh na anaendelea na mazoezi, tena hatumii dawa.
Baada ya kupona ndipo nikaanza kufuatilia kwa kina haya mambo ya Ukimwi.
Nikajq kupata interviews za wanasayansi tofauti na wote wanapinga kuwa HIV haaababishi Aids.
Walizungumza mambo mengi sana na wengine ndiyo wale waliyochukuliwa na Thabo Mbeki kipindi alivyokuwa rais wa Afrika ya Kusini, na Thabo Mbeki alifaulu pakubwa ongezeko la Ukimwi.
Nikipata muda nitaingia You Tube kutafuta interview moja wapo naweza nikaiweka hapa!