UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Ni kwa njia ya nutrition (food na food supplements). Haya , sasa kwanini usipandishe kinga?
Wanasayansi wanasema Aids ni malnutrition na kwa mara ya kwanza ilitokea baada ya ww2 na haswa iliwapata watoto wadogo kwa kukosa lishe bora.

Wanasema hakuna mafungamano yoyote baina ya HIV na Adis. Na HIV hasababishi Aids.

Na malnutrition ni upungufu wa virutubisho mwilini. Matokeo yake inasababisha kinga ya mwili kushuka chini na kuwa hafifu. Kinga ya mwili ikishakuwa hivi ni rahisi kushambuliwa na mwili kupata madhara kwani hushindwa kukabiliana na magonjwa. Na kwa vile kinga yako ya mwili ipo chini magonjwa tofauti yakikuvamia ni rahisi kupoteza uhai.

Wanasayansi wanasema mwenye malnutrition anaweza akamuuambukiza mwengine maradhi kwa sababu njia ya maradhi kusambaa zinafahamika. Yaani kwa maana kuna maradhi ya kuambukiza. Kuna mengine yanaambukizwa kama sehemu za wazi zenye michubuko zikikutana n.k

Maradhi ya namna hiyo mwenye malnutrition kama anayo anao uwezo wa kukuambukiza.

Wansayansi wanashauri tibu haya maradhi kwa kufuata kanuni za afya na muhimu kula vizuri, pata mlo mkamili.
----------
Maelezo haya nimeyachukua kutoka kwenye jopo la wanasayansi waliyokuwa wanamshauri rais Thabo Mbeki wa Afrika ya Kusini kuhusiana na kupunguza au kutokomeza waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi Afrika ya Kusini.

Kama una kumbuka Thabo Mbeki alivyoingia madarakani alisema "HAKUNA UKIMWI".

Tafiti zinaonyesha kipindi chake alipunguza wagonjwa wa Ukimwi wengi sana nchini kwake na kupelekea kuingia kwenye mvutano na Taasisi kubwa za madawa hususani ya Ukimwi.
 
Upungufu wa kinga mwilini ni ugonjwa? Ukapata huo upungufu halafu usipate ugonjwa wowote ule, nini zitakuwa dalili za huo ugonjwa?
huo upungufu wa kinga mwilini umetoka na nini?, kama umetokana na mtu kuwa na maambukizi ya VVU.
tayari huo ni ugonjwa wa ukimwi.
 
Tena zinaact kama Kinga ya kutengeneza ndio mana ukiacha kutumia usipokufa unaongezewa kipimo. Kama ulivyosema ukimwi una vichaka vingi Sana. Na Ukizingatia wamekufa wengi lakini unaweza Kuta methodology ya kuishinda ni ya kawaida Sana. Na hivi tunaelekea 2030 tutasikia mengi maana ndio deadline ya AIDS Officially.
 
Madaktari wote wanajua!!!!!, kama unabisha muite daktari yeyote hapa jukwaani unaemjua, aje hapa, nipo namsubiri, aje abishee!!! Tatizo wako underspecific instructions kuhakikisha mashudu ya ARV yanaliwa kwa wingi kuliko chakula lishe. Then baadae wanakuuzia figo kwa milioni 200…..
Miaka ya 90 waathirika wengi wa Ukimwi nchini Marekani walikufa.

Baada ya tafiti kufanywa ikagundulika dawa ambazo walizokuwa wanatumia (ARV) zilikuwa ndiyo chanzo, zinaathiri pakubwa Figo zao kuliko hata huo ugonjwa wa Ukimwi.

Mbaya zaidi wanasayansi wanasema mfumo jinsi ulivyo ni kuwa: Wao wakishafanya tafiti zao za kisayansi inabidi ziwasilishwe kwenye mamlaka ya serikali baada ya hapo ndipo wanapatiwa madaktari.

Kuna mwanasayansi mmoja nilikuwa naangalia interview yake alikuwa anasema anashangaa tafiti wanazofanya na mwongozo wanaotoa madkatari kwenye magonjwa mengine ni tofauti kabisa.
 
huo upungufu wa kinga mwilini umetoka na nini?, kama umetokana na mtu kuwa na maambukizi ya VVU.
tayari huo ni ugonjwa wa ukimwi.
Sawa, baada ya kupata huo upungufu, halafu akawekwa in a completely sterile isolation, kiasi asipate ugonjwa mwingine wowote, zipi zitakuwa dalili za hicho unachoita ugonjwa? Inawezekana ugonjwa usiwe na dalili kabisa? Kwanini tunahangaika sasa kama hauna dalili yoyote?
 
Madaktari wote wanajua!!!!!, kama unabisha muite daktari yeyote hapa jukwaani unaemjua, aje hapa, nipo namsubiri, aje abishee!!! Tatizo wako underspecific instructions kuhakikisha mashudu ya ARV yanaliwa kwa wingi kuliko chakula lishe. Then baadae wanakuuzia figo kwa milioni 200…..

ARV hazitibu Ukimwi , wala hazipandishi kinga ya mwili, bali for sure, zinaleta kidney na liver failure, na hiki ndicho huua waathirika…, uliza daktari yeyote, halafu rudi hapa akishakupa majibu, nakusubiri!!
Wacha weusi waendelee kuua wenzao as if wataishi wao milele.
 
Sawa, baada ya kupata huo upungufu, na asipate ugonjwa mwingie wowote, zipi zitakuwa dalili za hicho unachoita ugonjwa?
Mimi huwa siamini haya mambo ya Ukimwi.

Kuna mshikaji wangu mmoja alizaliwa nao, alikuwa anakula fresh na dawa akawa anatumia tena tulikuwa tunamsindikiza na baadaye aliacha kutumia dawa.

Mshikaji mpaka sasa hivi akipima hana Ukimwi na hatumii madawa. Anakula vizuri anafanya mazoezi na kwa sasa hivi ana training boxing.

Ana mwili mzuri na wenye afya! Na ana nguvu hatari! Nilikuwa na training naye!

Yeye ni mtu wa boxing mimi ni na training karate (shaolinj kempo).
 
Utaambiwa viral load Bado haijawa kubwa kupelekea anybody's attacks
Lakini utaanzishiwa ARV mapema. Sawa na mtu wa BP. Alaf mkuu ni Jana nilitoka kumweleza Mama Mmoja anaejitia mzungu pori kwamba Bahati mbaya miili ya binadamu Figo zao hazikuumbwa kuchuja sumu za dawa za Kila siku so ikilemewa zinafail Mungu angekuwa ameziumba Kwa ajili hiyo angeziwekea nguvu zisingekuwa zinafail Kwa kula madonge Kila siku.
 
Mimi huwa siamini haya mambo ya Ukimwi.

Kuna mshikaji wangu mmoja alizaliwa nao, alikuwa anakula fresh na dawa akawa anatumia tena tulikuwa tunamsindikiza na baadaye aliacha kutumia dawa.

Mshikaji mpaka sasa hivi akipima hana Ukimwi na hatumii madawa. Anakula vizuri anafanya mazoezi na kwa sasa hivi ana training boxing.

Ana mwili mzuri na wenye afya! Na ana nguvu hatari! Nilikuwa na training naye!

Yeye ni mtu wa boxing mimi ni na training karate (shaolinj kempo).
Aya wazungu pori na waumini wa dawa waje wabishe hapa. Mimi pia namfaham mzee aliyeacha dawa za BP mtoto wake anasema Kila siku anatafuna mbegu mbili za mlonge ni miaka Zaidi ya kumi tangu ameacha
 
FRANCIS DA DON unashangaa!

Sikuwahi kumnyanyapaa mshikaji hata mara moja!

Kama awali tulivyokuwa washikaji kabla ya kugundua ana Ukimwi ndivyo nilivyobaki kuwa vilevile hata baada ya kugundua ana Ukimwi.

Tulikuwa tunamsindikiza kuchukua dawa zao kipindi cha nyuma tukiwa watatu, yeye na sisi washikaji zake wawili.

Akawa anakula msosi fresh! Baadaye kaenda kupima akawa hana Ukimwi. Tangu 2016 mpaka sasa hivi mshikaji akipima hana Ukimwi na hatumii dawa.

Sasa hivi anakula vizuri na anaendelea na mazoezi yake ya boxing.
 
Tena zinaact kama Kinga ya kutengeneza ndio mana ukiacha kutumia usipokufa unaongezewa kipimo. Kama ulivyosema ukimwi una vichaka vingi Sana. Na Ukizingatia wamekufa wengi lakini unaweza Kuta methodology ya kuishinda ni ya kawaida Sana. Na hivi tunaelekea 2030 tutasikia mengi maana ndio deadline ya AIDS Officially.
Hiyo deadline aliiweka nani?
 
Aya wazungu pori na waumini wa dawa waje wabishe hapa. Mimi pia namfaham mzee aliyeacha dawa za BP mtoto wake anasema Kila siku anatafuna mbegu mbili za mlonge ni miaka Zaidi ya kumi tangu ameacha
Tulishangaa mara ya kwanza jamaa alivyokuwa hana Ukimwi. Tukasubiri miezi kadhaa kuchukua kipimo hana! Akachukua tena kipimo hana!

Tangu 2016 mpaka sasa hivi anadunda tu! Anakula fresh na anaendelea na mazoezi, tena hatumii dawa.

Baada ya kupona ndipo nikaanza kufuatilia kwa kina haya mambo ya Ukimwi.

Nikajq kupata interviews za wanasayansi tofauti na wote wanapinga kuwa HIV haaababishi Aids.

Walizungumza mambo mengi sana na wengine ndiyo wale waliyochukuliwa na Thabo Mbeki kipindi alivyokuwa rais wa Afrika ya Kusini, na Thabo Mbeki alifaulu pakubwa kupunguza ongezeko la Ukimwi.

Nikipata muda nitaingia You Tube kutafuta interview moja wapo naweza nikaiweka hapa!
 
Tulishangaa mara ya kwanza jamaa alivyokuwa hana Ukimwi. Tukasubiri miezi kadhaa kuchukua kipimo hana! Akachukua tena kipimo hana!

Tangu 2016 mpaka sasa hivi anadunda tu! Anakula fresh na anaendelea na mazoezi, tena hatumii dawa.

Baada ya kupona ndipo nikaanza kufuatilia kwa kina haya mambo ya Ukimwi.

Nikajq kupata interviews za wanasayansi tofauti na wote wanapinga kuwa HIV haaababishi Aids.

Walizungumza mambo mengi sana na wengine ndiyo wale waliyochukuliwa na Thabo Mbeki kipindi alivyokuwa rais wa Afrika ya Kusini, na Thabo Mbeki alifaulu pakubwa ongezeko la Ukimwi.

Nikipata muda nitaingia You Tube kutafuta interview moja wapo naweza nikaiweka hapa!
Yan mkuu kupotea Njia sio kosa ukiwa unatembea mahala kosa linakuja unaendelea kwenda huku unasema oooh nimeshapotea Wacha niendelee tuu Huko mbele Nimeshachanganya maana wanasema ivi na vile bla bla bla .... bila hata Kufanya intense analysis.
Janabi (prof) nimemsikia Kwa maskio yangu akisema Milo tunayokula Ina mambo mawili tuu.. kuwapa nguvu askari wanaotulinda au kuwapa maadai nguvu. Na hii ni Kwa Wote sio wenye ukimwi Wala ukoma au wazima.
 
Back
Top Bottom