Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Muda wake bado haujafika kumbuka unaweza kuishi na virusi hata miaka zaidi ya 10 bila kuanza kuuguaKuna ndugu yangu ana ngoma hatumii dawa na ukimuona huwezi kuamini.
Kila mara anabwia tu asali.
Ana muda mrefu na huo ugonjwa na ashaanza kuzeeka kwa umri.Muda wake bado haujafika kumbuka unaweza kuishi na virusi hata miaka zaidi ya 10 bila kuanza kuugua
Hivi wewe una uhakika gani kwamba ukimwi upo na huna hata chembe ya Science.Mfuatilie mada zake kuhusiana na huo ugonjwa,ila siku hizi kapotea,zaidi ya mwaka mmoja sijamuona sijui atakuwa amefagiliwa na huo ugonjwa,maana yake alikua hivi hivi anasema UKIMWI haupo,inaonekana alikua ni mtu wa dry sana
Kabla ya ARV kitu gani kilisababisha waathirika wakonde sana na kuugua sana na mwishoni kufaYeah,ARVs ni mradi wa hatimaye kumaliza kazi waliyoianza na inayoendelea.
Wewe mwenyewe mwanzoni umesema ni syndrome ( AIDS) acquired immunodeficiency syndrome na pia umetaja baadhi ya organs mfano, liver, kidneys nk tafsiri yake ni kwamba hivyo virus vinaenda kushambulia hizo organs na dalili anazokuwa nazo ni za hizo organs ulizo zitaja. Anyway hiyo kitu siyo ya kuombea sana wala kufutahia sana. Nina ndugu yangu wa karibu alipata shida kama hiyo akawa kichaa, akavua nguo kabisa tukazungusha hospital lakini ikaja kubainika ana hicho kitu alipewa dawa akawa vizuri. Alipewa dawa za ukichaa ( chlorpromazine) pamoja na ART/ ARV, akarudi kwenye hali yake ya kawaida hii ilikuwa mwaka 2015, hadi sasa yuko salama anatumia dawa maisha yanasonga. NB: Kabla ya hapo mdugu na jamaa walisema amerogwa na tayari akawa amesha pelekwa kwa waganga wa kienyejiUpungufu wa kinga mwilini ni ugonjwa? Ukapata huo upungufu halafu usipate ugonjwa wowote ule, nini zitakuwa dalili za huo ugonjwa?
Kwani hatuwezi kujitegemea?Mbona tunanunua magari ya kifahari kwa viongozi.?Trump kapress kidogo tu huku pamejipa, tuungane tu tendo lifutwe hilo lina majanga sana.
Kwamba lazima ufe?
Kwa hiyo haupo bloangu?Hivi wewe una uhakika gani kwamba ukimwi upo na huna hata chembe ya Science.
Poa ngoja nijaribu kusearchtusaidie kuupandisha hapa huo uzi wake tuwekee link tumsome
Sijawahi kuamini kwamba upo,kwa kuwa hawa watu ni matapeli sana.Kwa bahati hata hivyo nimehakikisha kwamba kweli haupo.Kwa hiyo haupo bloangu?
Huna ndugu alikwishawahi kuupata?
Nakubaliana naye kuwa Ukimwi sio Ugonjwa ni Upungufu wa Kinga mwilini lakini anasahau Kuwa Kama Kinga ya Mwili haitoshi Ni vigumu Kupambana na Ugonjwa wa TB hata Ukimeza Dawa ya TB..
Kuna tofauti na mtu ambea amejitaftia mwenyewe principle ni ile ile kuepuka maambukizi mapyaKama kuacha zinaaa sawa
Vipi waliozaliwa nao inasikitisha
Wewe uliwaona wapi ukiacha kwenye TV? Walikuonyesha wakichotaka uone.., hata sasa wakitaka watakuonyesha tena endapo mngegomea kama walivyogoma SA..Kama ni hivyo miaka ile kabla ya ARV watu walikonda sana na kufariki sana kwa HIV ila baada ya ARV mbona hatuoni ile hali ya watu kuumwa sana na kukonda sana
😂😂, Nitajie ugonjwa mwinginewowote ambao unaweza kuishi na ‘pathogen’ wake kwa miaka 10 bila kuugua, nitajie mmoja tu..Muda wake bado haujafika kumbuka unaweza kuishi na virusi hata miaka zaidi ya 10 bila kuanza kuugua
Una IQ ndogo halafu husomi kwa makini, hizo organ failure si nimesema ni madhara ya kutumia ARV? Au hujui kusoma?Wewe mwenyewe mwanzoni umesema ni syndrome ( AIDS) acquired immunodeficiency syndrome na pia umetaja baadhi ya organs mfano, liver, kidneys nk tafsiri yake ni kwamba hivyo virus vinaenda kushambulia hizo organs na dalili anazokuwa nazo ni za hizo organs ulizo zitaja. Anyway hiyo kitu siyo ya kuombea sana wala kufutahia sana. Nina ndugu yangu wa karibu alipata shida kama hiyo akawa kichaa, akavua nguo kabisa tukazungusha hospital lakini ikaja kubainika ana hicho kitu alipewa dawa akawa vizuri. Alipewa dawa za ukichaa ( chlorpromazine) pamoja na ART/ ARV, akarudi kwenye hali yake ya kawaida hii ilikuwa mwaka 2015, hadi sasa yuko salama anatumia dawa maisha yanasonga. NB: Kabla ya hapo mdugu na jamaa walisema amerogwa na tayari akawa amesha pelekwa kwa waganga wa kienyeji
Imagine unafurahia hapa alafu mwenza wako anakuletea😄!Yani apoo bado hamjasema,kila mtu atatubu kwa muda wake.
Mungu mbariki Trump na vizazi vyake vyote 7.