UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Mfuatilie mada zake kuhusiana na huo ugonjwa,ila siku hizi kapotea,zaidi ya mwaka mmoja sijamuona sijui atakuwa amefagiliwa na huo ugonjwa,maana yake alikua hivi hivi anasema UKIMWI haupo,inaonekana alikua ni mtu wa dry sana
Hivi wewe una uhakika gani kwamba ukimwi upo na huna hata chembe ya Science.
 
Upungufu wa kinga mwilini ni ugonjwa? Ukapata huo upungufu halafu usipate ugonjwa wowote ule, nini zitakuwa dalili za huo ugonjwa?
Wewe mwenyewe mwanzoni umesema ni syndrome ( AIDS) acquired immunodeficiency syndrome na pia umetaja baadhi ya organs mfano, liver, kidneys nk tafsiri yake ni kwamba hivyo virus vinaenda kushambulia hizo organs na dalili anazokuwa nazo ni za hizo organs ulizo zitaja. Anyway hiyo kitu siyo ya kuombea sana wala kufutahia sana. Nina ndugu yangu wa karibu alipata shida kama hiyo akawa kichaa, akavua nguo kabisa tukazungusha hospital lakini ikaja kubainika ana hicho kitu alipewa dawa akawa vizuri. Alipewa dawa za ukichaa ( chlorpromazine) pamoja na ART/ ARV, akarudi kwenye hali yake ya kawaida hii ilikuwa mwaka 2015, hadi sasa yuko salama anatumia dawa maisha yanasonga. NB: Kabla ya hapo mdugu na jamaa walisema amerogwa na tayari akawa amesha pelekwa kwa waganga wa kienyeji
 
Mama yangu mkubwa anaishi na virusi vya ukimwi yapata miaka 11 sasa,anatumia ARV na ana afya njema,ndugu zangu ukimwi hauna kinga kwa yeyote atakayefuata ushauri wa mleta mada atakwenda na maji.
 
Nakubaliana naye kuwa Ukimwi sio Ugonjwa ni Upungufu wa Kinga mwilini lakini anasahau Kuwa Kama Kinga ya Mwili haitoshi Ni vigumu Kupambana na Ugonjwa wa TB hata Ukimeza Dawa ya TB..

Kinachotakiwa ni Kuimarisha Kinga ya Mwili kwa Kuzuia Uporomokaji wa CD4 na Cells kutokana na Kushambuliwa na HIV..

Mwili una tendency ya Kujizuia au Kuondoa magonjwa Wenyewe kwa kupambana nayo lakini Kinga Ikiwa Haipo Mwili utashindwa Kufanya Hivyo na Kupelekea Kifo
 
Kama ni hivyo miaka ile kabla ya ARV watu walikonda sana na kufariki sana kwa HIV ila baada ya ARV mbona hatuoni ile hali ya watu kuumwa sana na kukonda sana
Wewe uliwaona wapi ukiacha kwenye TV? Walikuonyesha wakichotaka uone.., hata sasa wakitaka watakuonyesha tena endapo mngegomea kama walivyogoma SA..
 
Muda wake bado haujafika kumbuka unaweza kuishi na virusi hata miaka zaidi ya 10 bila kuanza kuugua
😂😂, Nitajie ugonjwa mwinginewowote ambao unaweza kuishi na ‘pathogen’ wake kwa miaka 10 bila kuugua, nitajie mmoja tu..
 
Wewe mwenyewe mwanzoni umesema ni syndrome ( AIDS) acquired immunodeficiency syndrome na pia umetaja baadhi ya organs mfano, liver, kidneys nk tafsiri yake ni kwamba hivyo virus vinaenda kushambulia hizo organs na dalili anazokuwa nazo ni za hizo organs ulizo zitaja. Anyway hiyo kitu siyo ya kuombea sana wala kufutahia sana. Nina ndugu yangu wa karibu alipata shida kama hiyo akawa kichaa, akavua nguo kabisa tukazungusha hospital lakini ikaja kubainika ana hicho kitu alipewa dawa akawa vizuri. Alipewa dawa za ukichaa ( chlorpromazine) pamoja na ART/ ARV, akarudi kwenye hali yake ya kawaida hii ilikuwa mwaka 2015, hadi sasa yuko salama anatumia dawa maisha yanasonga. NB: Kabla ya hapo mdugu na jamaa walisema amerogwa na tayari akawa amesha pelekwa kwa waganga wa kienyeji
Una IQ ndogo halafu husomi kwa makini, hizo organ failure si nimesema ni madhara ya kutumia ARV? Au hujui kusoma?
 
Yani apoo bado hamjasema,kila mtu atatubu kwa muda wake.
Mungu mbariki Trump na vizazi vyake vyote 7.
Imagine unafurahia hapa alafu mwenza wako anakuletea😄!

Mkuu before ushangilie, make sure you don't do sex! Otherwise..... Kasongo yeyeeee!!
 
Back
Top Bottom