UKIMWI sasa baaaasi! Tujiachie tu mpaka shetani ashangae

Nacheka ka mazuri..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ sema na we unachakata sana aiseeeeee daaah... Hvyo unaona bora ungeendelea tuu na malaya
Oh wenza ndio wanatupeleka kaburini mwenyewe aloyekuwa gelofrend wangu ndio kaniunganisha kwa grid. Bora ningeendeleaga na malaya tuu🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Oh wenza ndio wanatupeleka kaburini mwenyewe aloyekuwa gelofrend wangu ndio kaniunganisha kwa grid. Bora ningeendeleaga na malaya tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kwel ila angalia mtu asije pata mixed infection yaan ukawa na HIV 1 and HIV 2 at same time.....
 
Nacheka ka mazuri..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ sema na we unachakata sana aiseeeeee daaah... Hvyo unaona bora ungeendelea tuu na malaya
Sasa tunaachake kichakata mbususu wakati ndio za burudani mzeya.
 
Inakuaje kwani unapomjeruhi simba au tembo halafu ukamuacha umetulia unamwangalia?
Yaaan kuna mifano inakufanya mtu ucheke maana inaeleza really situation kwa jokes sanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hapo nimeelewa mkuu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ni kwel ila angalia mtu asije pata mixed infection yaan ukawa na HIV 1 and HIV 2 at same time.....
Ehh kumbe kuna viris viwili tena...ah nyie sasa mnatufunga kamba🀣🀣🀣🀣 sii umesema kirusi hakionekana sasa inakuwaje mkajia kuna virus viwili. Jombaa mbona kama mnataka insult our intelligence sasa
 
Ehh kumbe kuna viris viwili tena...ah nyie sasa mnatufunga kamba🀣🀣🀣🀣 sii umesema kirusi hakionekana sasa inakuwaje mkajia kuna virus viwili. Jombaa mbona kama mnataka insult our intelligence sasa
Tena msikilize jamaa kwa makini... Kiufupi ana taaluma ya hayo mambo sasa weee endelea upate hiyo 2 in 1 πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hapana shida ni burudani tuu usipo kufa kwa ngoma utakufa kwa ajali ya ndege
Kwenye ndege hapo.. majaliwa yupo labda kwa gari... Ila wew wote tunakufahamu kuwa ni mchakataji mzuri sana.... Sasa ulijichanganya vipi kuwa na gelofrendπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Ehh kumbe kuna viris viwili tena...ah nyie sasa mnatufunga kamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sii umesema kirusi hakionekana sasa inakuwaje mkajia kuna virus viwili. Jombaa mbona kama mnataka insult our intelligence sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jomba kipimo kile km ushawai kiangalia kimeandikwa HIV 1 , sehem nyengine kimeandikwa HIV 2 hizo ni species mbili tofaut wengi wana moja tu , na wachache wanatokea wana zote mbili hua inaleta shida kidgo kwenye drug resistence

Ila sio big issue jomba tuachane na hizi mada....we kula sna juice za parachichi jomba .......na matunda
 
Kwanza ushamchanganya hapo🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa ukiwa nazo mbili sii ndio vizuri mzeya maana watakulana wenyewe kwa wenyewe humo mwilini hivyo dawa haipatishida sana kuwasambaratisha
 
Kwenye ndege hapo.. majaliwa yupo labda kwa gari... Ila wew wote tunakufahamu kuwa ni mchakataji mzuri sana.... Sasa ulijichanganya vipi kuwa na gelofrendπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Ah sii ilikuwa pisi nikataka na mie niwe na ongozana na pisi kali....nyooo kumbe watu wanajipigia tuu
 
Sasa ukiwa nazo mbili sii ndio vizuri mzeya maana watakulana wenyewe kwa wenyewe humo mwilini hivyo dawa haipatishida sana kuwasambaratisha
Watakulana...then eg kirusi baada ya kulana kinapata mimb baada ya masaa 2 what next hapo wakianza kulana kwa wiki mbili.πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Maana uchakataji upo kwa viumbe vyote
 
Juice ya parachixhi, sio juice ya ubuyu tena? Ah nyi madaktari mnatuchanganya bwana
 
Ah sii ilikuwa pisi nikataka na mie niwe na ongozana na pisi kali....nyooo kumbe watu wanajipigia tuu
Vipi sasa...🀣🀣🀣 Ujapata tena pic ya kutulia nayo mazima maana kwa wa kwanza uliteleza
 
Sasa ukiwa nazo mbili sii ndio vizuri mzeya maana watakulana wenyewe kwa wenyewe humo mwilini hivyo dawa haipatishida sana kuwasambaratisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hhahahaha mamba kwani hua wanakulana wenyewe kwa wenyewe mkuu
 
Hatari yaani wakichakatana humo wanaleta specie nyingine tofauti. Dah balaa kweli kweli.
Hiki kirusi sijui kililetwa na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…