FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tatizo ni njaa za madalali wa chanjo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?
UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?
Jadili hoja acha ujingahivi kweli we kichwani ni mzima?
UNa umri gani? Nisijekuta nahangaika na kijana wa kindergarten. Yaani unaomba hata video wakati unatumia mtandao!Sijawahi sikia wakikataa makanisani.. Lete video kama zinavyokuja za Gwaji boi.. Mbona maneno mengi mtaalam
Hebu jibu kwanza hili swali; viongozi wa dini waliokuwa wakipinga kondomu, walikuwa wakisema badala yake vijana wafanye ngono bila kondomu?Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?
Kwa maswali ya aina hii, kuna sababu ya kulaumu Ndugai anavyoendesha bunge? Wewe bado unauliza juu ya viongozi wa makanisa na misikiti kukataa kondomu? Akili zetu zikoje? Hata kama ulikuwa hujazaliwa, ndo ushindwe kutafuta mitandaoni taarifa hizo na ushauri wao. Ndo ushindwe kuuliza kaka au dada zako? Toooo much!Hebu jibu kwanza hili swali; viongozi wa dini waliokuwa wakipinga kondomu, walikuwa wakisema badala yake vijana wafanye ngono bila kondomu?
Calm down mtaalam.. Haya maisha pasipo konakona ni marahisi sana--- Usiwe mchoyo wa maarifa---Na pia usiogope kusema hauna au umeshindwa ili wengine wakusaidie---Ain't personal bro!UNa umri gani? Nisijekuta nahangaika na kijana wa kindergarten. Yaani unaomba hata video wakati unatumia mtandao!
Na unajua waliposema watu wasifanye ngono ushauri huo ulikuwa kutoka wapi?Mi nikujibu hivi; Walisema watu wasifanye ngono. Mimi nasema ni ushauri wa kijinga
Malaria dawa zakuua sehemu za mazalia lakini wapo kimya ili waendelee kutuuzia Aluu , maamodyaquine sijui pamoja mamseto hata sipendi kuyasikiaMararia inaua sana ila sijaona kampeni kali kama hii ya chanjo ya covid
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?
UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?
Chanjo ya corona haipingwi ki kufuata mkumbo tu bali inapingwa kwakuwa hatujaona madhara ya corona. Ikija chanjo ya ukimwi hata kama ni doz milion 20 nauhakika wiki haiishi washakausha na booking juuHapa ndiyo naipima akili ya mutu mweusi.
Unaipinga chanjo ya covid-19, je ya ukimwi pia utaipinga?
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?
UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?
Itapingwa tu kama imepingwa ya ugonjwa hatari kama corona yenye kusumbua dunia nzima ndio watashindwa kupinga hiyo ya ukimwi? kwanza unavyoona hao watu wenyewe wanaogopa ukimwi?Hapa ndiyo naipima akili ya mutu mweusi.
Unaipinga chanjo ya covid-19, je ya ukimwi pia utaipinga?
Mtu ambaye si mzinzi hujiona yupo salama kwa kutopata ukimwi sasa kwa mazingira kama hayo anaweza asione umuhimu sana kutumia hiyo chanjo.Chanjo ya corona haipingwi ki kufuata mkumbo tu bali inapingwa kwakuwa hatujaona madhara ya corona. Ikija chanjo ya ukimwi hata kama ni doz milion 20 nauhakika wiki haiishi washakausha na booking juu
Tukienda kwa mifano; Rwakatale alibaki kiongozi wa kanisa hadi mauti. CCM, Bunge au Serikali imewatukuza viongozi wa kiroho kwa urafi wa kura za waumini kwa miaka yote. inabidi wavumilie tu maana wasijidai kugeuka kwa kuwa sasa Gwajima anawakatalia mambo yao.Gwajima hana kosa lolote (kisheria)japo anapotosha. Huyo waziri aliyeamrisha akamatwe nadhani wengi mnamjua ni nusu kichaa. Kosa la Gwajima liko within his political party. Chama anachokiwakilisha ndiyo kinatakiwa kimwajibishe kwa kwenda kinyume na matakwa yake. Kwangu mimi kinachotakiwa kufanywa na chama chake ni kumpa options mbili: ama aachie ngazi kwenye ubunge abaki mwanachama wa kawaida, au aachie ngazi kwenye uongozi wa kiroho na abaki kama muumini wa kawaida. Hii ni kwa sababu kuna mgongano wa maslahi anapokuwa na uongozi sehemu zote mbili.
Itapingwa tu kama imepingwa ya ugonjwa hatari kama corona yenye kusumbua dunia nzima ndio watashindwa kupinga hiyo ya ukimwi? kwanza unavyoona hao watu wenyewe wanaogopa ukimwi?
Itapingwa tu kama imepingwa ya ugonjwa hatari kama corona yenye kusumbua dunia nzima ndio watashindwa kupinga hiyo ya ukimwi? kwanza unavyoona hao watu wenyewe wanaogopa ukimwi?