#COVID19 UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?

UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Naipenda Tanzania
Bongo sihami.
 
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?
Hebu jibu kwanza hili swali; viongozi wa dini waliokuwa wakipinga kondomu, walikuwa wakisema badala yake vijana wafanye ngono bila kondomu?
 
Kwa maswali ya aina hii, kuna sababu ya kulaumu Ndugai anavyoendesha bunge? Wewe bado unauliza juu ya viongozi wa makanisa na misikiti kukataa kondomu? Akili zetu zikoje? Hata kama ulikuwa hujazaliwa, ndo ushindwe kutafuta mitandaoni taarifa hizo na ushauri wao. Ndo ushindwe kuuliza kaka au dada zako? Toooo much!

Mi nikujibu hivi; Walisema watu wasifanye ngono. Mimi nasema ni ushauri wa kijinga sawa na mtu anayeshauri watu wabaki majumbani kukwepa corona, akifahamu watakufa kwa njaa. Hata Vatican ilikataa kwa kujidai mafundisho ya kikatoliki hayataki. Hata rais Moi alisema hayo hayo, akijidai anaweza kuishi bila ngono wakati alikuwa na miaka 75.

Hapa TZ hata chanjo ya tetanus kwa wasichana ilipigwa vita na Makanisa. Hadi leo hii Jehovah witness hawataki blood transfusion. Jipya la Gwajima ni lipi? Serikali ilishakuwa dhaifu kwa viongozi wa dini, hata kwa mambo muhimu ya kiafya. FINITO!
 
UNa umri gani? Nisijekuta nahangaika na kijana wa kindergarten. Yaani unaomba hata video wakati unatumia mtandao!
Calm down mtaalam.. Haya maisha pasipo konakona ni marahisi sana--- Usiwe mchoyo wa maarifa---Na pia usiogope kusema hauna au umeshindwa ili wengine wakusaidie---Ain't personal bro!
 
Mi nikujibu hivi; Walisema watu wasifanye ngono. Mimi nasema ni ushauri wa kijinga
Na unajua waliposema watu wasifanye ngono ushauri huo ulikuwa kutoka wapi?

Unapouita ushauri wa kijinga huwatukani wao, unamtukana walikotoa huo ushauri. Unataka kujiwekea laana juu ya kichwa chako, na ustastahili kila ovu litakalokupata kwa kuongea kama mpumbavu
 
Ukimwi asilimia 90 watu wanautafuta wenyewe tofauti na covid
 
Mararia inaua sana ila sijaona kampeni kali kama hii ya chanjo ya covid
Malaria dawa zakuua sehemu za mazalia lakini wapo kimya ili waendelee kutuuzia Aluu , maamodyaquine sijui pamoja mamseto hata sipendi kuyasikia
 
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?

UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?

Takwimu zako zina zingatia vifo kwa mwaka kwa mwezi kwa wiki au kwa siku?

Uliyoyaandika yanazingatia tofauti zozote baina ya magonjwa mawili hayo?
 
Hapa ndiyo naipima akili ya mutu mweusi.

Unaipinga chanjo ya covid-19, je ya ukimwi pia utaipinga?
Chanjo ya corona haipingwi ki kufuata mkumbo tu bali inapingwa kwakuwa hatujaona madhara ya corona. Ikija chanjo ya ukimwi hata kama ni doz milion 20 nauhakika wiki haiishi washakausha na booking juu
 
Hivi akili zenu mmeweka wapi siku hizi? Mbona mnakimbilia kulinganisha maembe na machungwa? UKIMWI uliingia dunuani 1981 na kwa miaka 40 umeua watu million 36 (watu 0.9 mil kwa wastani kila mwaka). COVID-19 imeanza 2020 na imeua watu million 4.4 katika mwaka mmoja na nusu (watu 2.9 milioni kwa mwaka kwa wastani). Ukiwa mjinga hautaelewa na hili. Jikinge hata kama ugonjwa unaua watu 100. Katika hao watu 100 waweza kuwemo usipochukuwa tahadhali.
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?

UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?
 
Hapa ndiyo naipima akili ya mutu mweusi.

Unaipinga chanjo ya covid-19, je ya ukimwi pia utaipinga?
Itapingwa tu kama imepingwa ya ugonjwa hatari kama corona yenye kusumbua dunia nzima ndio watashindwa kupinga hiyo ya ukimwi? kwanza unavyoona hao watu wenyewe wanaogopa ukimwi?
 
Chanjo ya corona haipingwi ki kufuata mkumbo tu bali inapingwa kwakuwa hatujaona madhara ya corona. Ikija chanjo ya ukimwi hata kama ni doz milion 20 nauhakika wiki haiishi washakausha na booking juu
Mtu ambaye si mzinzi hujiona yupo salama kwa kutopata ukimwi sasa kwa mazingira kama hayo anaweza asione umuhimu sana kutumia hiyo chanjo.
 
Gwajima hana kosa lolote (kisheria)japo anapotosha. Huyo waziri aliyeamrisha akamatwe nadhani wengi mnamjua ni nusu kichaa. Kosa la Gwajima liko within his political party. Chama anachokiwakilisha ndiyo kinatakiwa kimwajibishe kwa kwenda kinyume na matakwa yake. Kwangu mimi kinachotakiwa kufanywa na chama chake ni kumpa options mbili: ama aachie ngazi kwenye ubunge abaki mwanachama wa kawaida, au aachie ngazi kwenye uongozi wa kiroho na abaki kama muumini wa kawaida. Hii ni kwa sababu kuna mgongano wa maslahi anapokuwa na uongozi sehemu zote mbili.
Tukienda kwa mifano; Rwakatale alibaki kiongozi wa kanisa hadi mauti. CCM, Bunge au Serikali imewatukuza viongozi wa kiroho kwa urafi wa kura za waumini kwa miaka yote. inabidi wavumilie tu maana wasijidai kugeuka kwa kuwa sasa Gwajima anawakatalia mambo yao.
 
Itapingwa tu kama imepingwa ya ugonjwa hatari kama corona yenye kusumbua dunia nzima ndio watashindwa kupinga hiyo ya ukimwi? kwanza unavyoona hao watu wenyewe wanaogopa ukimwi?

Unacheza na ngozi nyeuc babaa🤣 watakuwa tayali kuchanja ili wasienderee ku2mia kinga
 
Itapingwa tu kama imepingwa ya ugonjwa hatari kama corona yenye kusumbua dunia nzima ndio watashindwa kupinga hiyo ya ukimwi? kwanza unavyoona hao watu wenyewe wanaogopa ukimwi?

Ngoja 2one mkuu
 
Back
Top Bottom