- Thread starter
-
- #181
NitafikishaNimepata wazo jipya.... Kama wewe unaukimwi na umekata tamaa njoo zako pm kwa speed (Mwezi mtukufu upo mbele hapo,,,, huenda meza ikapinduka ndani ya mwezi mmoja)
Ntakupatia njia salama kabisa.... N muongozo wa kiibada pekee!!! Pia ntakupatia siri ya kuwa karibu na Allah halafu kwenye ule usiku wa lailatul qadr ntakuombea uzima kwa mwenyez Mungu!!!
Trust me unapona kabisa..... Ninahakika na nnachokiongea!!!
Note: Ramadhan yote mm ntajitaahd kujitenga na maaswi kwa kukaa sehem moja siku zote 30 nikifanya ibada na nyirad zangu(watu wa twariqa tunaita chimbo)
If you have a solution then good luck...... Kuliko kukaa na kulia bila sabb kwanini usifate njia yangu (note: dozi utaendelea nazo Kama kawaida ili uwe na amani)
Halafu huduma n free kabisa