UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Nimepata wazo jipya.... Kama wewe unaukimwi na umekata tamaa njoo zako pm kwa speed (Mwezi mtukufu upo mbele hapo,,,, huenda meza ikapinduka ndani ya mwezi mmoja)

Ntakupatia njia salama kabisa.... N muongozo wa kiibada pekee!!! Pia ntakupatia siri ya kuwa karibu na Allah halafu kwenye ule usiku wa lailatul qadr ntakuombea uzima kwa mwenyez Mungu!!!
Trust me unapona kabisa..... Ninahakika na nnachokiongea!!!

Note: Ramadhan yote mm ntajitaahd kujitenga na maaswi kwa kukaa sehem moja siku zote 30 nikifanya ibada na nyirad zangu(watu wa twariqa tunaita chimbo)


If you have a solution then good luck...... Kuliko kukaa na kulia bila sabb kwanini usifate njia yangu (note: dozi utaendelea nazo Kama kawaida ili uwe na amani)

Halafu huduma n free kabisa
Nitafikisha
 
Wakati mwingine tunaweza kumsimanga mtoa mada kuhusu madhaifu kadhaa kwenye maandishi yake hapa JF

Lakini kumbe lengo lake ilikuwa kuendelea kuikumbusha Jamii, ikiwemo Jamii ya watumiaji wa JamiiForums kwamba pamoja na kimya kilichopo kuhusu HIV/Ukimwi ila still ugonjwa huu upo kwenye jamii zetu.

Muhimu tuendelee kuchukua tahadhari ili kuepusha maambukizi mapya.

Miaka ya Zamani niliwahi kusikia wimbo mmoja wa Bongo Fleva unaitwa Jirushe - Ferouz Ft Jay Moe Kuna sehemu Jay Moe alighani Kwa kusema "Hakuna Demu wa kwenda naye Nyama Kwa nyama" unless umepima naye na mmejiridhisha kwamba nyote mko salama.

Vinginevyo Vijana wa hovyo hapa jamvini hupenda kusema "Vaa Kondomu mbili 🙌" na usiende safari zaidi ya Mbili

For whatever reason, tuendelee kuchukua tahadhari Vijana Kwa Wazee 🤗
 
Vijana mnaopiga kavu mna mioyo migumu sana...yaan Karne ya 21 unapiga kavu?
 
Ukimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika, aisie analia mpaka basi amekata tamaa. Tuwe makini na wadada wanachukua kwa masponser.
Sas ukimwi ni jambo la kutisha mimi nikajua kakutwa figo zimefeli 😁
 
Hayo mawazo sasa ndio yatammaliza kabisa

Ametokea mkoa gani poti?
 
Great YHC usahili wa uhamiaji umepita??

Na ulifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam??


Siku nyingine ukiwa unataka kuleta thread humu ndani, andika kwa kutulia, cooldown your pressure, hariri andiko lako ili kuondoa sintofahamu.

Nipo chuo mkuu uhamiaji majibu bado

Ulifikaje Chuo kikuu cha Dar es salam???

Mi nasoma mkuu ajira za uhamiaji NILIOMBA kwa Cheti Cha six

Ulifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam???

KUKAA kimya ni JIBU la mjinga
😁😁😁😁😁
 
Nyie si mmekuja mjini kutuonesha nyie ni mafundi wa mapenzi.

Badala mfate kilichowaleta.
Kwani kupata hiv kuna ujanja au ushamba mkuu? Ngoma anapata yoyote, awe mwaminifu anakutana na asiye mwaminifu...anapata.

Huwezi kutumia kinga kila mara, huwezi kuwa unapima kila mara.

Hakuna mwenye guarantee ya kutopata huu ugonjwa.
 
Back
Top Bottom