UKIMWI upo ndugu zangu

nshashtuka humu wengi wameshaungua wanajibizana wenyewe kwa wenyewe utafikiri wanaongelea malaria au mafua vile wanataka na wengine waingie mkenge kama wao. ndugu zangu iyo sio vizuri.

kama uliteleza ukaupata ndo imeshatokea ivo auwezi kurudi nyuma wew mshukuru mungu ila waokoe wengine
 

Wee bana achaga uongo, uliwahi sikia wapi mfungo wa ramadan ukamponesha mtu ukimwi. Muambie tu ukweli kwamba mpaka sasa umekufa nusu. ukizembea ukimwi utasababisha kifo chako kamili. Halafu umuambie kama bichwa lako linashindwa kujizuia hisia za ngono kama jogoo au mbuzi, basi endelea kufa pole pole.
 
Hahahah demu wa kuvaa visendo vya manyoya unagonga kishababi kweli? Ukitaka uwe salama pendelea a kugonga wale mademu ambao wanaonekana washamba washamba. Hao mara nyingi huwa watu wanawa ignore sababu hawako kisasa.
 
Amemuanika kivipi kwani amemtaja jina au katuma picha yake humu.Kaomba tu ushauri
 
Watu wanataka wafunge magoli ya chenga nyingi kama za mzee Ronaldinho
Shida yote ya nini! Mtu unapiga chenga zako 2 - 3 unafunga vigoli viwili unamwacha aende.

Sasa hawa vijana huwa wanaonesha mbwembwe kuanzia mwanzo wa mchezo.
Kwanza wanaingia kwa kuruka ukuta, pili vyenga vingi sana. Anafika mpaka golini halafu hafungi anamsubiri mpinzani afunge halafu yeye ndio aje kwa come back ya kibabe.
Kisa anafidia gharama za maandalizi ya mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…