UKIMWI upo ndugu zangu

Huwa ata ndom bila kupima sigusi mkuu, wadada wengi wanapenda pigwa kavu na me wengi hawana msimamo kwenye hilo.

Nyie mtakufa sana, wale jamaa wakiamua kuzua arv zao. Kwa maana tangu mzaliwe hamjawahi ona wanaoumwa na magonjwa nyemelezi yanayosababishwa na ukimwi. Sii wenzenu tumejionea live mtu anavyopukutika mpaka anabaki kilo mbili. Ndiyo maana hatuwazagi hizo mbusus zenu mnazoshindia kujadili humu. πŸ˜‚ 🀣 πŸ˜†
 
Mkuu umeongea kama na mtoto wa 2000😁😁 ni kweli kabisa hawa vijana wadogo hawana hofu kabisa.
 
Eti tuwe makini na wadada, hivi hao wadada huwa wanajiambukiza ukimwi wenyewe bila kukutana na wanaume waathirika.
Wadada wanaambukizwa na wastaafu kwa tamaa zao na kuwaletea vijna wadogo wenye ndoto lukuki[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Fala huyo kuna mtu huku ana kansa ya damu ana ya shingo,na tunacheza nae mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…