UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Toba haimponyi yeye anatakiwa azingatie ARV na msos na aache stress
Ni rahisi kuongea, rahisi sana. Ni kama hatujui saikolojia ya binadamu. Accepting that he's hiv+, kukubali kuishi nao na kuwa na positive perspective ya maisha sio kitu kirahisi. Huenda toba ikawa sehemu tu ya kuisaidia afya yake ya akili. Kinachotakiwa hapa ni kumponya akili kwanza, the rest wala sio issue akishakubaliana na mazingira hayo.
 
pole sana mleta mada jitahidi kufuata ushauri wa daktari mifugo mwilini itakutafuna sana.

ukome kushindana na ulipotokea
🤣🤣🤣Binadamu bwana
Daily wanaume wa jf mmekuwa mkihamasisha ngono,utasikia tombeer huyo,kula mbususu,akiileta sugua,mkaze halafu mteme, na lugha zingine za karaha za kutukuza ngono zembe mkidhani mnawakomoa wanawake,

Leo mnamkana memba mwenzetu,kweli pata matatizo ujue rafiki na adui zako👌

Jamii inajengwa na mtizamo yenu wanajamii,na wanaume wa kitz sio wote mmekuwa mkijinadi ni vinara wa ngono zembe,hadi mnapeana koneksheni za madanguro kwenye miji mikubwa na namba za malayaah.
Kijana pole yake,afike ctc atapimwa again na kama kaathirika kweli atapewa councelling na mengineyo.
 
Serikali inajitahidi kutoa matangazo daily, vijana mjikinge, gonjwa bado lipo. Asie sikia la mkuu huvunjika guu, nampa pole, mtie moyo sana, azingatie tu matibabu
Serikali haipo serious na matangazo na angalizo juu ya ugonjwa huu, miaka michache nyuma nilikuwa naona onyo ila miaka hii hakuna wakati vichochezi vimeongezeka kwa kasi hasa kwenye social media
 
Watu sikuhizi wanaogopa mimba sio ukimwi. Huyo rafiki yako mwambie aache umama hiyo ni sawa na jeraha la wanajeshi wetu walioko uko Congo akirudi nyumbani anachongo familia inashukuru. Mapambano yaendelee tu kuna watu wanadunda tunawafahamu miaka 20 sasahivi.
 
Kavuna alichokipanda, huwa mnajiona wajanja sana kututombea ma sponsor, mbaya zaidi mnajisifu ana jamaa lake lina hela ila namtombea hawezi kazi
 
Atumie dawa maisha yaendelee. Wanachuo muwe mnatumia kinga halafu acheni yale mambo ya kujifanya Romeo & Juliet mkiwa chuo. Yaani kama mmeoana. Yaani bora hata ukanunue kuliko kujifanya Dr Love Pimbi kwa hao wanafunzi wenzenu.
 
Na hapo ndipo wanapokoseaga vijana. Yaani wanapiga show utafikiri kuna sheria ya goli la ugenini.
Kumbe mtu ukipiga kigoli chako cha mapema tu inatosha, kikubwa point 3 sio idadi ya magoli.
Eeh hatar kwa kweli
 
Ila kwa data nilizoziona kwenye mitandao kuhusu Maambukizi ya Ukumwi katika Vyuo Vikuu nchini hizi si habari za kushangaza. Wanaambukizana mumo humo.
 
Serikali haipo serious na matangazo na angalizo juu ya ugonjwa huu, miaka michache nyuma nilikuwa naona onyo ila miaka hii hakuna wakati vichochezi vimeongezeka kwa kasi hasa kwenye social media
Serikali bado inaendelea, Yes kuna mafanikio lakini kidogo mno. Thing with social media ni kwamba you cant control contents, mle watu wanaweka wenyewe content zinazochochea ngono zembe
 
Back
Top Bottom