Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Alikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika. Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
 
Alikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika .Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
Mbona yuko kwenye list ya mapadre wa Bukoba??
 
Kumbe bado hujalijua kanisa katoliki. Unafikiri linafanya mambo yake kwa mihemko nje ya utaratibu wake? Kanisa ni imara na Lina taratibu zake.

Leo BBC Swahili wameripoti wakejaribu kupata msimamo wa kanisa Jimbo la bukoba lkn imeshindikana. Na hii ndio maana ya taasis imara
 
Kumbe bado hujalijua kanisa katoliki. Unafikiri linafanya mambo yake kwa mihemko nje ya utaratibu wake? Kanisa ni imara na Lina taratibu zake. Leo BBC Swahili wameripoti wakejaribu kupata msimamo wa kanisa Jimbo la bukoba lkn imeshindikana. Na hii ndio maana ya taasis imara
Kabisa ndio maana hukuti mizozo ya kipuizi ndani yake kabisa, system yake ni Imara sanaaa....Viva RC.Tofauti na makanisa menginee ya kijanjajanjaa.
 
Back
Top Bottom