Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Una uhakika? Unajua alianzia wapi kazi? Usinywe maji ya bendera utaumbuka ndg yangu
Siumbuki. Maji ya bendera hayo hapo kwenye profile icon yako. Ukiyanywa lazima uwe kilaza. Uwezo wa kuelewa unakuwa finyu kama polisi.
 
91A2BD80-523F-4EB3-ACF4-A37EB05B6B73.jpeg
 
Binafsi nimeshangaa na ninazidi kushangaa mpaka sasa hakuna tamko lolote walilotoa 🤒😎
Tamko gani hujasikia kwamba wamemsimamisha kufanya huduma?,vile vile tamko lao ni Hadi jamhuri itakapomaliza upande wao na TEC watafanya upande wao.....hawakurupuki
 
Watanzania wengi hawajui uchafu ambao umekuwa ukifanywa na Mapadre wa kanisa katoliki tangu lilipoanzishwa miaka zaidi ya 1900 iliyopita.

Hili kanisa lina historia chafu sana. Kuanzia mauaji, ulawiti wa watoto, uzinzi, nk

Hili kanisa limeua watu wengi sana duniani. Historia yake inasikitisha. Mapadre wamelawiti watoto maelfu kwa maelfu duniani. Wake za watu wameziniwa na Mapadre wa kanisa hili. Vitendo vya ushoga vipo ndani ya kanisa hili.

Kwa ufupi, hiyo ishu ya kifo cha mtoto Albino kuhusishwa na Padre wa kanisa katoliki kwao ni ishu ndogo sana. Wanajua historia yao ya "uchafu" ilivyo.

Watanzania, jaribuni kufanya utafiti wenu kidogo kuhusu hili kanisa na mtajua ninachosema. Hili ni kanisa la Lucifer. Hili sio kanisa la MUNGU.

Mwenye masikio na asikie.
 
Machizi mnateseka sana. Ata shetani analichukia ila hamjui lolote. Acha kulihusisha kanisa na mambo ya mtu mmoja mmoja.
 
Watanzania wengi hawajui uchafu ambao umekuwa ukifanywa na Mapadre wa kanisa katoliki tangu lilipoanzishwa miaka zaidi ya 1900 iliyopita.
Kwa ukongwe wake lazima kuna mambo mengi yamefanyika, mazuri na mabaya. Huwezi ukalinganisha mazuri na mabaya ya kanisa lililoanzishwa na Mitume zaidi ya miaka 1900 iliyopita na kanisa lililoanzishwa na mtume na nabii miaka 10 iliyopita
 
Nani kakufanganya kanisa katoliki lilianzishwa na mitume?
Nitajie mitume walioanzisha kanisa katoliki.

Kanisa katoliki lilishiriki katika kuwaua baadhi ya mitume na kuwatesa na kuwaweka vifungoni. Iweje hao liliowatesa na kuwaua ndiyo wawe waanzilishi?

Huu ndiyo "udanganyifu" mkubwa sana anaoutumia Lucifer kuwadanganya watu kuwa kanisa katoliki lilianzishwa na Mitume.

Kwa taarifa yako kanisa katoliki lilikuwepo kabla hata mitume hawajaanza kazi ya kuhubiri. Lilikuwa linajulikana kama "kanisa la Rumi".
 
Polisi wameshatoa taarifa huyo mtu alikuwa msaidizi wa paroko na wala hakuwa na ajira ya kanisa katoriki katafuteni scandal nyingine ya kuwachafua TEC
Kama nakuona vile, yaani ulishindwa kabisa kumuelewa polis? Aliyewachafua RC ni paroko muuaji
 
Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.

Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Huyo ufafanuzi uliouandika hapa kautoa nani?
 
Alikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika. Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
We jamaa muongo sana
 
  • Kicheko
Reactions: len
Kabisa ndio maana hukuti mizozo ya kipuizi ndani yake kabisa, system yake ni Imara sanaaa....Viva RC.Tofauti na makanisa menginee ya kijanjajanjaa.
Ndio maana mapadri waliuawa kanisani na hakuna kesi
 
Nani kakufanganya kanisa katoliki lilianzishwa na mitume?
Nitajie mitume walioanzisha kanisa katoliki.

Kanisa katoliki lilishiriki katika kuwaua baadhi ya mitume na kuwatesa na kuwaweka vifungoni. Iweje hao liliowatesa na kuwaua ndiyo wawe waanzilishi?

Huu ndiyo "udanganyifu" mkubwa sana anaoutumia Lucifer kuwadanganya watu kuwa kanisa katoliki lilianzishwa na Mitume.

Kwa taarifa yako kanisa katoliki lilikuwepo kabla hata mitume hawajaanza kazi ya kuhubiri. Lilikuwa linajulikana kama "kanisa la Rumi".
Pengine hauko vizuri katika kutenganisha kati ya Utawala wa Rumi na Kanisa Katoliki kwa nyakati tofauti. Kabla ya mtawala Constantine, hata Kanisa Katoliki lilikuwa ni wahanga wa Utawala wa Kirumi. Kuna nyakati Utawala wa Kirumi uliweka Papa wake (anti Pope) katika nyakati hizo hizo ambazo yupo Papa wa Kanisa Katoliki

Kuhusu Kanisa Katoliki kuwa ni la Mitume, inanishangaza wewe ambaye si mmoja wa Wakatoliki ulazimishe walio Wakatoliki wasiamini wanachoamini. Kanisa Katoliki katika sala yake ya kukiri imani yake, linataja kabisa kuwa 'Nasadiki kwa Kanisa Moja Katoliki Takatifu la Mitume". Sasa kama wewe hutaki kuamini wanachoamini wao, basi ujue hautaweza kukibadilisha maana imani imo ndani ya mtu husika, sio ndani ya mtu mwingine
 
Unachokiamini haimaanishi ni sahihi. Imani yako au imani ya kanisa katoliki ni imani ya uwongo.

Kuamini na kusali kuwa kanisa katoliki ni kanisa la Mitume haibadilishi ukweli. Ukweli utabakia kuwa ukweli na ukweli ni kwamba kanisa katoliki halikuanzishwa na mitume.

Mimi nilikuwa mkatoliki, lakini, baada ya kuutafuta UKWELI na kuujua, nikaachana na mafundisho ya uongo ya kanisa katoliki. Nalifahamu kanisa katoliki kuliko unavyolifahamu wewe.

Ninachokiandika ni UKWELI mtupu. Ipo siku huu UKWELI utafinuliwa kwa Wanadamu wote na utanikimbuka.
 
Back
Top Bottom