Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Unataka kutoa ufafanuzi uchwara hapa.

Wakati jeshi la polisi limetoa habari hii very clearly kwa kutaja jina la huyo paroko msaidizi kwamba ni Elpidius Rwegoshora.

Unadhani jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba mtuhumiwa ni huyo?

Kwani kama jeshi la polisi limekosea kusema hivyo,

Paroko wa hiyo parokia si alikuwepo?

Si angekana na kuwasahihisha jeshi la polisi kwamba huyo "Elpidius Rwegoshora" sio msaidizi wake?
Sijaleta ufafanuzi wowote hapo kiongozi. Na zaidi ya yote awe ni paroko au asiwe paroko, shehe au asiwe shehe kwangu mimi siyo issue ya kulumbania maana najua karibia binadamu wote tumechafukwa na muda wowote tunaweza kufanya chochote na watu wakabaki midomo wazi.
 
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.

TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.

PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Wanafanya utafiti wa hizi tuhuma am sure hawawezi kuwa wamekaa kimya kwa maana ya kwamba kwa sasa hakuna wanachofanya.

Lazima huyo paroko wanamfuatilia na kucheki mambo mengi ili wajiridhishe ndio wanaweza kutoa taarifa rasmi japo kumbuka hata kumekuwa na shutuma dhidi ya mapadre kutia mimba na kubaka pamoja na kulawiti lakini waliona haina haja ya kujitetea sana sababu utaratibu wa kanisa ni kwamba ukiwa na hizi tuhuma wao wanakusimamisha utumishi mpaka itakapodhihirika vinginevyo na ikidhihirika ni kweli basi unatimuliwa.

So unaona kwamba kwa utaratibu wa kanisa hakuna haja ya kujitetea sababu hayo ni matendo binafsi ya mtu. .
 
Back
Top Bottom