Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.

Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Nani alitoa huu ufafanuzi? Tusaidie na sisi tuweze kusoma hasa toka katika vyombo rasmi kama ni polisi, wizara Au Askofu, Sheikh Padre nk
 
Tatizo lenu mnapenda sana kulichafua Kanisa Katoliki ndio maana wengine tukiamua kusimama kulitetea kwa ujinga wenu mnatuita wafia dini, mnataka tukae kimya ili mtimize malengo yenu hasi ya kulisema vibaya Kanisa Katoliki, hilo halitawezekana nawaambia.
Ukristo nimegundua ni dini hatari sana kiusalama,yaani mnamtetea muuaji kisa kiongozi wenu wa dini? Au mnadhani hao ni malaika
 
Huyo muhusika siyo kanisa,yeye atawajibika Kwa kesi yake kama mtu mwingine,kanisa halikumtuma.
 
Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.

Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Umetolewa Na Nani???
 
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.

TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Hawakubaliani naye, kuingilia nikumpa kiki..
 
Unaongea utafikiri tayari mahakama imeshathibitisha kwamba waliokamatwa ni wahalifu, tofautisha tuhuma na hukumu. Unamwitaje mtu muovu kwa tuhuma tuu
Wewe hata paroko akibaka mkeo na kulawiti mwanao, utamtetea paroko.

Nili kuuliza very clearly kwamba, Je jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo "mtuhumiwa" ni paroko msaidizi?

Niliposema muovu ni kwamba huyo mtuhumiwa ambaye ni paroko msaidizi, At the moment ni muovu.
 
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.

TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.

PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Kanisa katoliki siyo kama Zizi la ng'ombe na nliishasema humu huwa hawakurupuki na ni kanisa lenye mfumo imara kabisa duniani.Kwa nini usimwulize msemaji wa polisi ili aqualify statement yake aliyoitoa kwenye vyombo vya habari.
 
Wewe hata paroko akibaka mkeo na kulawiti mwanao, utamtetea paroko.

Nili kuuliza very clearly kwamba, Je jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo "mtuhumiwa" ni paroko msaidizi?

Niliposema muovu ni kwamba huyo mtuhumiwa ambaye ni paroko msaidizi, At the moment ni muovu.
Thibitisho kauli yako don't be vague.
 
Hawana pa kukimbia kwani ni kweli Paroko wao kahusika
1718874885707.jpg

1718874892836.jpg
 
Back
Top Bottom