Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

Watakubali ukweli ingawa mchungu

Haya mambo yanatokea hata kuna wakati Pope alifukuza watu Vatican kwa wizi na nepotism ila mmoja pamoja na yote aliachwa aendelee kuwa Cardinal
 
Huu ni ufafanuzi uchwara.

Kujaribu kuficha ficha upumbavu na uovu wa huyo padri wenu.

Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?

Leteni uthibitisho hapa kwamba huyo mtuhumiwa sio paroko.

Sio kuleta stori uchwara za vilabuni huko mshakunywa ulanzi mna bwabwaja bwabwaja hapa...!!!
Ungekuwa mfatiliaji ungeona taarifa ya polisi kukanusha twitter
 
Na wewe unafikiri jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?

Wapumbavu kama wewe hata paroko akibaka mkeo au mtoto wako bado uta mtetea paroko.
Mbona upo nje ya mada? Nilichojibu hapo ni kuhusu kanisa katoliki kuwa kimya, sio kukubali au kutokubaliana tuhuma za padiri. Kwa jinsi ulivokurupuka kuniquote umeonesha ni jinsi gn kichwani ulivyo empty.
 
Sina dini wala imani ya aina yeyote ile.

Niko hapa kukosoa hawa wajinga wanao jaribu kutetea uovu wa huyo padri.
. Nimeshindwa kufuatilia hii habari ya huyo Padre, kwa Sababu haileweki.

. Nimetafuta source kadha ili nijue vizuri, lakini sijaona maneno yaliyo shiba kuhusu hilo suala.

Labda kuna updates zozote police wamezitoa hadi sasa ???
 
1. Taarifa ya polisi ilipaswa kusema ni padre wa jimbo katoliki la Bukoba. Awe paroko au msaidizi wa paroko is immaterial. Awe teja au alisimamishwa, anabaki kuwa ni padre wa jimbo la Bukoba. Mwenye mamlaka ya kuthibitisha au kukana, ni askofu wa jimbo la Bukoba pekee! TEC sio msemaji wa mapadre. NI BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TZ
Yeah sure..
 
. Nimeshindwa kufuatilia hii habari ya huyo Padre, kwa Sababu haileweki.

. Nimetafuta source kadha ili nijue vizuri, lakini sijaona maneno yaliyo shiba kuhusu hilo suala.

Labda kuna updates zozote police wamezitoa hadi sasa ???
Jeshi la polisi limemtaja mtuhumiwa very clearly kwamba ni "Elpidius Rwegoshora" ambaye ni paroko msaidizi na kuna mdau hapo juu katuma link yenye list ya mapadri wote wa Bukoba.

Na jina "Elpidius Rwegoshora" lipo kwamba ni padri.

Je unadhani jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyu mtuhumiwa ni paroko msaidizi?
 
Badala ya kujibu hoja unaleta Viroja.

Naku uliza hivi,👇

Jeshi la polisi limekurupuka from no where kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?
Kukurupuka au kuto kukurupuka hiyo siyo yangu na wala wewe huwezi kuithibitisha chochote. Mjadala uliopo ni kama kweli yule ni padre au sio padre maana kadili ya polisi ni kwamba walivomkamata mtuhumiwa alidai yeye ni msaidizi wa paroko, elewa maana ya sentensi msaididizi wa paroko. so sio lazima awe padre. Wenye uwezo wa kuthibitisha hilo ni kanisa katoliki wenyewe sio wewe mpita njia, na ndio msingi wa hoja ya mleta mada.
 
Huu ni ufafanuzi uchwara.

Kujaribu kuficha ficha upumbavu na uovu wa huyo padri wenu.

Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?

Leteni uthibitisho hapa kwamba huyo mtuhumiwa sio paroko.

Sio kuleta stori uchwara za vilabuni huko mshakunywa ulanzi mna bwabwaja bwabwaja hapa...!!!
Wakristo wa ajabu sana,yaani wanadhani polisi wanabahatisha sijui,halfu kwann wanatetea uhalifu au muhalifu kisa tu mkristo mwenzao au kiongozi wao,as if ni malaika
 
Tatizo lenu mnapenda sana kulichafua Kanisa Katoliki ndio maana wengine tukiamua kusimama kulitetea kwa ujinga wenu mnatuita wafia dini, mnataka tukae kimya ili mtimize malengo yenu hasi ya kulisema vibaya Kanisa Katoliki, hilo halitawezekana nawaambia.
Huna akili we na wenzio,mnatetea muuaji kisa tu mkristo mwenzenu, kwenu kiongozi hata akimphila mwanao ni sawa tu
 
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.

TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Kwani lini Kanisa Katoliki lilishatuhumiwa likajitokeza hadharani kujitetea? Mtakumbuka kwamba wakati wa Covid-19 Karibu Mkuu wa TEC alitoa msimamo wa Kanisa Katoliki kuhusu kuwepo kwa Covid-19 na kuwaasa waumini wake wachukue tahadhari kwa vile Kanisa tayari lilikuwa limeshapoteza watu wake "kwa hiyo halisemi kwa kubahatisha". Baada ya kusema hivyo, kulijitokeza baadhi ya watu, wengine wamo humu jf ambao walitia tuhuma nzito kumhusu yeye tangu akiwa Principal wa SAUT na wengine walitumia platforms mbalimbali kumchafua (unaweza kucheki YouTube), lakini hakuna hata siku moja alijitokeza kujibu tuhuma au Kanisa Katoliki kujitokeza kufafanua. Yote Kanisa linamwachia Mungu na halijawahi kupungukiwa na kitu.
 
Jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?

Au unaleta hisia zako za kidini kutetea uovu na upumbavu alioufanya huyo padri?
Unaongea utafikiri tayari mahakama imeshathibitisha kwamba waliokamatwa ni wahalifu, tofautisha tuhuma na hukumu. Unamwitaje mtu muovu kwa tuhuma tuu
 
Back
Top Bottom