Wamekanushia wapi?Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.
Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekanushia wapi?Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.
Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Huo ufafanuzi umetolewa wapi?Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.
Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Huu ni ufafanuzi uchwara.Alikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika .Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
Na wewe unafikiri jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko?Kumbe bado hujalijua kanisa katoliki. Unafikiri linafanya mambo yake kwa mihemko nje ya utaratibu wake? Kanisa ni imara na Lina taratibu zake. Leo BBC Swahili wameripoti wakejaribu kupata msimamo wa kanisa Jimbo la bukoba lkn imeshindikana. Na hii ndio maana ya taasis imara
Asante sana mkuu.
Inaonekana kosa lilianzia kwenye utambulisho wa awali kwenye vyombo vya habari kwamba mtuhumiwa ni paroko msaidizi badala ya msaidizi wa paroko ambaye anaweza kuwa mtu yoyote anaemsaidia paroko jambo lolote nje ya kazi rasmi za kanisani.Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.
Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
Wewe hata paroko akibaka mkeo utamtetea parokoKabisa ndio maana hukuti mizozo ya kipuizi ndani yake kabisa, system yake ni Imara sanaaa....Viva RC.Tofauti na makanisa menginee ya kijanjajanjaa.
Watoa Taarifa, Waliombe kanisa radhi. Yule sio padri kabisa. Hajawahi ata kuwa padri. Wamekurupuka.Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Unataka kutoa ufafanuzi uchwara hapa.Inaonekana kosa lilianzia kwenye utambulisho wa awali kwenye vyombo vya habari kwamba ni paroko msaidizi badala ya msaidizi wa paroko ambaye anaweza kuwa mtu yoyote anaemsaidia paroko jambo lolote nje ya kazi rasmi za kanisani.
Una uthibitisho kwamba sio padri?Watoa Taarifa, Waliombe kanisa radhi. Yule sio padri kabisa. Hajawahi ata kuwa padri. Wamekurupuka.
Baba paroko wa jf taarifa ya polisi ndio inasema hivyo,nani sasa anaechafua ukatoriki wako mkuu,hivi angetajwa sheikh kwenye hilo saga ungesema uislam unachafuliwa!kwenye hili saga tuache ushabiki wa kidiniTatizo lenu mnapenda sana kulichafua Kanisa Katoliki ndio maana wengine tukiamua kusimama kulitetea kwa ujinga wenu mnatuita wafia dini, mnataka tukae kimya ili mtimize malengo yenu hasi ya kulisema vibaya Kanisa Katoliki, hilo halitawezekana nawaambia.
Jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?Tatizo lenu mnapenda sana kulichafua Kanisa Katoliki ndio maana wengine tukiamua kusimama kulitetea kwa ujinga wenu mnatuita wafia dini, mnataka tukae kimya ili mtimize malengo yenu hasi ya kulisema vibaya Kanisa Katoliki, hilo halitawezekana nawaambia.
Hawa watu ni wajinga sana.Baba paroko wa jf taarifa ya polisi ndio inasema hivyo,nani sasa anaechafua ukatoriki wako mkuu,hivi angetajwa sheikh kwenye hilo saga ungesema uislam unachafuliwa!kwenye tuache ushabiki wa kidini
Bado tunachunguza kama ni paroko kweli hata hivyo tuna laani mauaji ya kinyamaTEC hiyo taarifa haijatufikia, ikitufikia tutaoa tamko. kuweni na subira wakuu
TEC wanatumia akili kuchanganua mambo, siyo kama kule kwenye mang'amung'amuSio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Udini unakusumbua bwanamdogo...Huo ufafanuzi umetolewa wapi?
Leta huo uthibitisho hapa kwamba huyo anaye tuhumiwa sio paroko.
Mnataka kuficha ficha uovu wa Mapadri wenu wapumbavu.
Huo uthibitisho ulete hapa.