Kwani ni Paroko wa RC ? Watatoa tamko mateja wenzakeKanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Uzuri kama ni wakatoliki wana namna yao ya kuchunguza matukio kama hayo na hasa yakiwahusisha wao au miongoni mwao na kama polisi ni waongo wataumbukaTEC hiyo taarifa haijatufikia, ikitufikia tutaoa tamko. kuweni na subira wakuu
Hakuna kanisa lenye cheo au mtumishi anayejulikana kama PAROKO zaidi ya ROMAN CATHOLIC!Kwani ni Paroko wa RC ? Watatoa tamko matej
MKuu unahisi TEC inafanya kazi kwa kukurupuka?Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
Mbona yuko kwenye list ya mapadre wa Bukoba??Alikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika .Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
Ya mwaka gani?Mbona yuko kwenye list ya mapadre wa Bukoba??
Unaweza kutoa list ya mapadri wa Bukoba tuone.Mbona yuko kwenye list ya mapadre wa Bukoba??
Unaweza kutoa list ya mapadri wa Bukoba tuone.
Kabisa ndio maana hukuti mizozo ya kipuizi ndani yake kabisa, system yake ni Imara sanaaa....Viva RC.Tofauti na makanisa menginee ya kijanjajanjaa.Kumbe bado hujalijua kanisa katoliki. Unafikiri linafanya mambo yake kwa mihemko nje ya utaratibu wake? Kanisa ni imara na Lina taratibu zake. Leo BBC Swahili wameripoti wakejaribu kupata msimamo wa kanisa Jimbo la bukoba lkn imeshindikana. Na hii ndio maana ya taasis imara
Mwaka huu na alipata upadirisho 2006Ya mwaka gani?