Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwani walikuwa wanajua kwamba kuna mtoto ametekwa?Sahihi walikuwa wapi siku 19 nyuma mtoto alipotekwa?
Siumbuki. Maji ya bendera hayo hapo kwenye profile icon yako. Ukiyanywa lazima uwe kilaza. Uwezo wa kuelewa unakuwa finyu kama polisi.Una uhakika? Unajua alianzia wapi kazi? Usinywe maji ya bendera utaumbuka ndg yangu
Siumbuki. Maji ya bendera hayo hapo kwenye profile icon yako. Ukiyanywa lazima uwe kilaza. Uwezo wa kuelewa unakuwa finyu kama polisi.
Tamko gani hujasikia kwamba wamemsimamisha kufanya huduma?,vile vile tamko lao ni Hadi jamhuri itakapomaliza upande wao na TEC watafanya upande wao.....hawakurupukiBinafsi nimeshangaa na ninazidi kushangaa mpaka sasa hakuna tamko lolote walilotoa π€π
Mtasema bado hamjasemaAlikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika. Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
Kwahiyo huyo padre aliesimamishwa kutoa huduma ni wa parokia gani?,Ya mwaka gani?
Machizi mnateseka sana. Ata shetani analichukia ila hamjui lolote. Acha kulihusisha kanisa na mambo ya mtu mmoja mmoja.Watanzania wengi hawajui uchafu ambao umekuwa ukifanywa na Mapadre wa kanisa katoliki tangu lilipoanzishwa miaka zaidi ya 1900 iliyopita.
Hili kanisa lina historia chafu sana. Kuanzia mauaji, ulawiti wa watoto, uzinzi, nk
Hili kanisa limeua watu wengi sana duniani. Historia yake inasikitisha. Mapadre wamelawiti watoto maelfu kwa maelfu duniani. Wake za watu wameziniwa na Mapadre wa kanisa hili. Vitendo vya ushoga vipo ndani ya kanisa hili.
Kwa ufupi, hiyo ishu ya kifo cha mtoto Albino kuhusishwa na Padre wa kanisa katoliki kwao ni ishu ndogo sana. Wanajua historia yao ya "uchafu" ilivyo.
Watanzania, jaribuni kufanya utafiti wenu kidogo kuhusu hili kanisa na mtajua ninachosema. Hili ni kanisa la Lucifer. Hili sio kanisa la MUNGU.
Mwenye masikio na asikie.
Kwa ukongwe wake lazima kuna mambo mengi yamefanyika, mazuri na mabaya. Huwezi ukalinganisha mazuri na mabaya ya kanisa lililoanzishwa na Mitume zaidi ya miaka 1900 iliyopita na kanisa lililoanzishwa na mtume na nabii miaka 10 iliyopitaWatanzania wengi hawajui uchafu ambao umekuwa ukifanywa na Mapadre wa kanisa katoliki tangu lilipoanzishwa miaka zaidi ya 1900 iliyopita.
Nani kakufanganya kanisa katoliki lilianzishwa na mitume?Kwa ukongwe wake lazima kuna mambo mengi yamefanyika, mazuri na mabaya. Huwezi ukalinganisha mazuri na mabaya ya kanisa lililoanzishwa na Mitume zaidi ya miaka 1900 iliyopita na kanisa lililoanzishwa na mtume na nabii miaka 10 iliyopita
Kama nakuona vile, yaani ulishindwa kabisa kumuelewa polis? Aliyewachafua RC ni paroko muuajiPolisi wameshatoa taarifa huyo mtu alikuwa msaidizi wa paroko na wala hakuwa na ajira ya kanisa katoriki katafuteni scandal nyingine ya kuwachafua TEC
Huyo ufafanuzi uliouandika hapa kautoa nani?Mbona ufafanuzi umeshatolewa kuwa waliyemtuhumu kuwa ni Paroko kuwa si paroko bali ni mkazi anayejuana na paroko na humsaidia majukumu ya kawaida kijamii.
Nadhani hili swala mnalihamishia pahala kusipohusika.
We jamaa muongo sanaAlikuwa Paroko ila miaka 7 iliyopita alisimamishwa kwa sababu za kihuni baadae rafiki yake ambaye ni Paroko kwenye Parokia husika akamchukua na kuishi nae akidhani atabadilika. Alimchukua kama msaidizi wake binafsi wa kazi ndogo ndogo parokiani ila sio kikanisa(Kiroho)
Ndio maana mapadri waliuawa kanisani na hakuna kesiKabisa ndio maana hukuti mizozo ya kipuizi ndani yake kabisa, system yake ni Imara sanaaa....Viva RC.Tofauti na makanisa menginee ya kijanjajanjaa.
Pengine hauko vizuri katika kutenganisha kati ya Utawala wa Rumi na Kanisa Katoliki kwa nyakati tofauti. Kabla ya mtawala Constantine, hata Kanisa Katoliki lilikuwa ni wahanga wa Utawala wa Kirumi. Kuna nyakati Utawala wa Kirumi uliweka Papa wake (anti Pope) katika nyakati hizo hizo ambazo yupo Papa wa Kanisa KatolikiNani kakufanganya kanisa katoliki lilianzishwa na mitume?
Nitajie mitume walioanzisha kanisa katoliki.
Kanisa katoliki lilishiriki katika kuwaua baadhi ya mitume na kuwatesa na kuwaweka vifungoni. Iweje hao liliowatesa na kuwaua ndiyo wawe waanzilishi?
Huu ndiyo "udanganyifu" mkubwa sana anaoutumia Lucifer kuwadanganya watu kuwa kanisa katoliki lilianzishwa na Mitume.
Kwa taarifa yako kanisa katoliki lilikuwepo kabla hata mitume hawajaanza kazi ya kuhubiri. Lilikuwa linajulikana kama "kanisa la Rumi".
Unachokiamini haimaanishi ni sahihi. Imani yako au imani ya kanisa katoliki ni imani ya uwongo.Pengine hauko vizuri katika kutenganisha kati ya Utawala wa Rumi na Kanisa Katoliki kwa nyakati tofauti. Kabla ya mtawala Constantine, hata Kanisa Katoliki lilikuwa ni wahanga wa Utawala wa Kirumi. Kuna nyakati Utawala wa Kirumi uliweka Papa wake (anti Pope) katika nyakati hizo hizo ambazo yupo Papa wa Kanisa Katoliki
Kuhusu Kanisa Katoliki kuwa ni la Mitume, inanishangaza wewe ambaye si mmoja wa Wakatoliki ulazimishe walio Wakatoliki wasiamini wanachoamini. Kanisa Katoliki katika sala yake ya kukiri imani yake, linataja kabisa kuwa 'Nasadiki kwa Kanisa Moja Katoliki Takatifu la Mitume". Sasa kama wewe hutaki kuamini wanachoamini wao, basi ujue hautaweza kukibadilisha maana imani imo ndani ya mtu husika, sio ndani ya mtu mwingine
Waneshafanya yaoSio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji