PostGE2025 Ukimya wa Feminists (wafeminia) juu ya ukatili wa Samia unafikirisha sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai

Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya hadhara wakifundishana na kuitisha umma wakidai usawa na kueleza changamoto zao.

Imenitafakarisha sana huu ukimya uliotokea hadi sasa sioni hawa wanafeminia wakizungumza, kukosoa wala kukemea Mwanamke huyu alipewa madaraka awali na nina kumbuka kipindi hiki ndo yaliyotokea hadi zile kauli mbiu za mama anaweza na Samia aliaanza kuitwa Mama ndo zikafuata mara ooh Mama na utu, Mama wa Maendeleo.................

Ni kwamba ukatii aliofanya katika matukio ya Oktoba 29 haihusiani na mambo ya kukemewa na wanafeminia?

Hizi sauti sasa hazisikiki zikikemea ukatili ambao mwanachama wao amefanya, mbaya zaidi wengine watoto wao wameuawa na wengine bado wapo gerezani kwa kesi za uhaini

Feminism ya kweli siyo kinga ya uswa tu wa Mamlaka, bali ni msimamo wa kimaadili unaopinga Ukatili, mauaji na ukandamizaji wa haki. Ukimya katika nyakati kama hizi hauilindi harakati—unaidhoofisha.

Tukiongea sana watasema sauti za wanawake zinaminywa wataibuka na ufeminia wao na kelele nyingi

Proud to be feminists naomba mtambue haki na usawa unaotafutwa katika fursa inapaswa pia nguvu hiyo kupigania haki na uwazi pindi inapokiukwa na yule aliyepewa fursa

1769772751151.png
 
Feminists ni matakataka.
 
Back
Top Bottom