endeleeni kumsifia huyo ruge wenu we unafikiri yeye na genge lake wanachofanya kujidai wao ndo wanashikilia kila kitu kwenye game, wanatumia mali na akili zao kuendelea kusumbua ndugu na watoto wetu ! time will tell huo uhuni ndo lowasssa alitaka kuuuleta ccm eti akaunda genge kukishika chama yako wapi huyo ruge wenu ajue tu watu wako nje ya game lakini wanaumia! hakuna marefu yasiyo na ncha na mara nyingi mwisho huwa ni mbaya
Ukigombana na ruge uwez baki salama....anaziba mianya yote ya entertainments industry....
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.
Mwenye udaku kumhusu please atujuze.
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.
yuko anatunga wanaume cjui wamefanya fanya nini...c unajua nyimbo zake zinaendana na mambo yaliyomzunguka
Duh Ruge mnamuonea sana ifike muda tuache mawazo mgando,Jide hana ngoma mpya wala hafanyi show ni kama kapumzika ila tunasema ni Ruge ivi tutamsikiaje bila kufanya kazi au Ruge kamkata ulimi asiimbe wala siamini wote wanao hit ni vile wana uswahiba na Ruge kama vipi mwambie Jide adondoshe mzigo kama kawaida uone kama hajurudi kwenye ramani.
Pole sana Dada Jaydee, Mungu huwa anajibu Hapa hapa duniani ulinitukana sana kwenye mitandao ukiniita mario kisa umepata mzungu, yuko wapi sasa huyo mfaransa? Nilifanya vita kupambana na Ruge nawe unajua, Nakutakia vita yenye ushindiendeleeni kumsifia huyo ruge wenu we unafikiri yeye na genge lake wanachofanya kujidai wao ndo wanashikilia kila kitu kwenye game, wanatumia mali na akili zao kuendelea kusumbua ndugu na watoto wetu ! time will tell huo uhuni ndo lowasssa alitaka kuuuleta ccm eti akaunda genge kukishika chama yako wapi huyo ruge wenu ajue tu watu wako nje ya game lakini wanaumia! hakuna marefu yasiyo na ncha na mara nyingi mwisho huwa ni mbaya
Pole sana Dada Jaydee, Mungu huwa anajibu Hapa hapa duniani ulinitukana sana kwenye mitandao ukiniita mario kisa umepata mzungu, yuko wapi sasa huyo mfaransa? Nilifanya vita kupambana na Ruge nawe unajua, Nakutakia vita yenye ushindi
Ruge sio Mungu
Sawa,Nakubali kwamba, Ruge sio Mungu lakini jamaa anajua kumanage wasanii na wanamuziki wa Bongo,So ushauri wangu kwa JD akubali yaishe waombane msamaha yaishe ili aweze kurudi tena kwenye game,kwani hata yeye mwenyeweJD anatambua kwamba bila Ruge yeye asingefika pale alipofika kimuziki na hilo lipo wazi,anayebisha anapenda tu ubishi.
Ukigombana na ruge uwez baki salama....anaziba mianya yote ya entertainments industry....
Binafsi naona jide kugombana na Ruge amejimaliza mwenyewe
Vipi mr.2 a.k.a sugu ye amezibiwa nini na ruge
Duh Ruge mnamuonea sana ifike muda tuache mawazo mgando,Jide hana ngoma mpya wala hafanyi show ni kama kapumzika ila tunasema ni Ruge ivi tutamsikiaje bila kufanya kazi au Ruge kamkata ulimi asiimbe wala siamini wote wanao hit ni vile wana uswahiba na Ruge kama vipi mwambie Jide adondoshe mzigo kama kawaida uone kama hajurudi kwenye ramani.
Jide yupo last year alitoka na nyimbo forever love you ft dabo na mwaka huu Ana nyimbo inaitwa give me love ft Uhuru wa south Africa huwezi Iona wala kuisikia Kama unashinda always na clouds FM au clouds TV naionaga MTV base mieHivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.
Mwenye udaku kumhusu please atujuze.