Ukimya wa Lady Jaydee

ukiona mtu anazungumziwa saaana kwa ukimya wake.bhasi jua watu wamemiss mambo yake ambayo bado wanayahitaji lakini hawana mbadala wake...katika bongo flavour ambayo imetawaliwa na jumbe za mapenzi lakini unaimba out kabisa na bado watu wanasikiliza na tuzo unapewa..nobody like jide kabisaa.
 
Jide yupo last year alitoka na nyimbo forever love you ft dabo na mwaka huu Ana nyimbo inaitwa give me love ft Uhuru wa south Africa huwezi Iona wala kuisikia Kama unashinda always na clouds FM au clouds TV naionaga MTV base mie
Kwahiyo wewe unapoiona nyimbo ya jide MTV base ndo unakua umemuingizia siku????..... Nyimbo hata ipigwe mara milioni kwa siku kama msanii hafanyi matamasha lazima afulie....

Kafanye ka research uwajue watu wenye connection na huu mziki hapa bongo....
 
Kwan Katoa ngoma mpya afu haipigwi redion au kaamua kukausha kwa ajili Ya mitkas zake
Mbona ashatoa ngoma kibao hadi zinapigwa ma-mtv base..
Sema kabaniwa show na matamasha, chanzo kikubwa cha mapato kwa wasanii.... Mwishowe lazima ufulie tu....
MOG Bar and Restaurant ashafunga karibia mwezi wa 4....
 
E fm ni ya DJ Majizzo
Ilitokea uzushi zamani ni ya Lady Jay Dee...hana hata share wala umiliki wa hiyo radio..
Kumbuka Gadner aliajiriwa na E fm wakati kashatengana na Jay Dee
Jiongeze hapo
DJ Majizzo ni mfanyakazi pale... Huo mzigo ni wa Joshua...
Wamiliki wa kampuni ya Master Intertainment iliyopo pale mwananyamala.
Ndo wanaendesha biashara ya Maisha Basement pale makumbusho na maisha club za Dom na Mtwara....
 
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa kipindi kile bifu lilikua hot hivyo watu lazima wangemsapoti.....
Kwenye vita ya tembo na panya lazima watu watamtetea panya, mnyonge mwenzao...

Baada ya hizo kelele kinachofuata ni kazi na maisha....

Unatoa nyimbo nzuri, hupati show.... Nini kinafuata????

Naona hata mgahawa kaufunga....

Kuna wadukuzi wanadai anaishi mjini kwa Mbunge wa Msoma Maporini...
 
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.

Mwenye udaku kumhusu please atujuze.

Wala hayupo kimyaa, anaongea sana sema uko mbali naye best..
 
Ataimba nini wakati game imechange. Akiangalia huku Vanessa, huku Rubby

Wakati yeye anajua tu kuimba nyimbo za aina moja.
jide jembe ww kwanza omba samahan kwa kumfananisha na hao watoto, hao hawaufikii uwezo wa jide hata chembe.labda ni mambo binafsi tu yamemueka kimya lakini akirud hao wote wataomba poo
 
Ataimba nini wakati game imechange. Akiangalia huku Vanessa, huku Rubby

Wakati yeye anajua tu kuimba nyimbo za aina moja.
Kama ana uwezo wa kupata mahitaji yoooote na chenchi ikabaki je?
 
maisha yana mambo mengi, jide ndie anajua kwa sasa nini cha kufanya. hata usanii unafikia kikomo na mtu akaangalia maisha mengine,kupumzika kupo.kufulia kupo, najua jide kuna jambo liikipita utatoka, muda si mrefu....
 
Wapumbavu hutashindwa kuwajua. Hivi unaweza kutegemea Jide awe juu muda wote!? Jide amefanya muziki tangu enzi za kina Juma Nature nae wengine. Leo unaweza kuhoji kwa nini Juma Nature hatambi kama zamani. Upumbavu turn. Huyo ruge hawezi kuzuia game ya jide. Lad a game ya wasanii wake.
 
Inasemekana amefulia ila wachunguzi wa habari za kisanii wanasema pia nyota yake pia imefifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…