Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbowe hawezi kuwa fala kama Lisu,yaani ammdaririshe wakati wa Kampeni harafu amuunge mkono? 😁😁Wakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ambaye anaongoza harakati za kuzia uchaguzi kama hakutafanyika mabadiliko (no reforms, no election).
Soma, Pia: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA
Tangu kukubali kushindwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho na kusema anaenda kusaka Mafekeche, Mbowe aliamua kukaa kimya na kutoshiriki wazi wazi shughuli za chama hali ambayo inazua maswali mengi kwani wengi wanaoonyesha kwenda tofauti na harakati za chama chini ya Lissu ni wale waliokuwa timu Mbowe.
Mbowe ni mjumbe wakudumu wa Kamati Kuu ya chama lakini hayaonekani kwenye vikao kazi vya chama wala kuzunguka mikoani kueneza ajenda ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.
Kama Mbowe angekuwa bega kwa bega na Lissu, haya yanayoendelea hivi sasa ya Lembrus Mchome, John Mrema na wengine Je, tungeyashuhudia?
Kila Lissu akikaza, day la Mbowe linaongezeka.
Ili akagundue nini ?Mbowe anahamia CCM..
Lissu ni dikteta hapaswi kusaidiwaWakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ambaye anaongoza harakati za kuzia uchaguzi kama hakutafanyika mabadiliko (no reforms, no election).
Soma, Pia: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA
Tangu kukubali kushindwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho na kusema anaenda kusaka Mafekeche, Mbowe aliamua kukaa kimya na kutoshiriki wazi wazi shughuli za chama hali ambayo inazua maswali mengi kwani wengi wanaoonyesha kwenda tofauti na harakati za chama chini ya Lissu ni wale waliokuwa timu Mbowe.
Mbowe ni mjumbe wakudumu wa Kamati Kuu ya chama lakini hayaonekani kwenye vikao kazi vya chama wala kuzunguka mikoani kueneza ajenda ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.
Kama Mbowe angekuwa bega kwa bega na Lissu, haya yanayoendelea hivi sasa ya Lembrus Mchome, John Mrema na wengine Je, tungeyashuhudia?
Na yule dada wa Nairobi na anawakoroga balaa!! Tuliona mbali sana uwezo wa kuongoza taasisi kubwa kama CHADEMA lissu hana na hakua tayari. Muda ni hakimu wa yote.Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
4. Lema hapakuwa na mpaka sasa na haja ya press hii! Inawagawa zaidi kuliko kuwaunganisha! Mengine kaa nayo kifuani, play altruism!
Kwa hivi nani atawapa nchi? kama mnashindwa ku handle simple internal misunderstandings, mwenye akili kweli atawapigia kura?