PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna mtu dalali kama Lissu na Lema? Lema mwizi wa magari nyakati hizo kuna damu nyingi sana zinamlilia!!

Yaani sasa na akili zenu yule malaya wa Nairobi ndo anawavuruga kiasi hicho? Ptuuuh!!!!

Mmekosa pa kushikia. Sasa hivi mnahangaika na lolote tu. Eti Maria Sarungi wa ACT ndio aivuruge CHADEMA?. Kuwa serious. Mwacheni Lissu aongoze chama, maana hamkutegemea kama angemuangusha Mbowe.
 
Achana nao mzee hao.

Hao wako kwenye project maalum ya kula hela za Abdul na CCM mambo yao binafsi yaende.

Hawana hoja zozote za msingi ni upuuzi tu.
Huu utoto soon utakwisha!! Lile tumbo la Lissu litapasuka!
 
Kuna mtu dalali kama Lissu na Lema? Lema mwizi wa magari nyakati hizo kuna damu nyingi sana zinamlilia!!

Yaani sasa na akili zenu yule malaya wa Nairobi ndo anawavuruga kiasi hicho? Ptuuuh!!!!

Dalali alikuwa Mbowe
 
Mmekosa pa kushikia. Sasa hivi mnahangaika na lolote tu. Eti Maria Sarungi wa ACT ndio aivuruge CHADEMA?. Kuwa serious. Mwacheni Lissu aongoze chama, maana hamkutegemea kama angemuangusha Mbowe.
Una utoto mwingi sana nani kakosa pa kushika mimi au Lissu? Subiri ujionee yajayo yanafurahisha!!
 
Kuna mtu dalali kama Lissu na Lema? Lema mwizi wa magari nyakati hizo kuna damu nyingi sana zinamlilia!!

Yaani sasa na akili zenu yule malaya wa Nairobi ndo anawavuruga kiasi hicho? Ptuuuh!!!!
Propaganda za kizamani toka kwa makada wa ccm. Hii inazidi kuanika ni jinsi gani umepata maumivu ya mumeo kushindwa kihalali. Lisu ashikilie hapo hapo hawa madalali hadi warudishe hela walizohongwa na ccm kwenye uchaguzi. Mbowe arudi chamani kwani alifukuzwa au alizira baada ya kushindwa?
 
Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
4. Lema hapakuwa na mpaka sasa na haja ya press hii! Inawagawa zaidi kuliko kuwaunganisha! Mengine kaa nayo kifuani, play altruism!

Kwa hivi nani atawapa nchi? kama mnashindwa ku handle simple internal misunderstandings, mwenye akili kweli atawapigia kura?
Tulioko njiani kujiunga CDM tupo wengi kuliko hao G55 wanaoondoka,by the way,G55 ni kundi lililojigawa kutoka ccm enzi hizo,niambie kama kuna anayekumbuka kama liliwahi kuwepo.
chama ni kikubwa kuliko kundi dogo la waasi.
 
Propaganda za kizamani toka kwa makada wa ccm. Hii inazidi kuanika ni jinsi gani umepata maumivu ya mumeo kushindwa kihalali. Lisu ashikilie hapo hapo hawa madalali hadi warudishe hela walizohongwa na ccm kwenye uchaguzi. Mbowe arudi chamani kwani alifukuzwa au alizira baada ya kushindwa?
Watu wako kwenye udalali wa siasa ili kujinufaisha binafsi.

Nchi hii mashetani ni mengi sana. Na hawa ndo walikuwa wanawasaliti vijana wa chadema wanaopambana kweli hadi wanatekwa na kuuliwa na ma Ccm na mijinga iliyopo TISS.

Ila wakati wa Mungu umefika. Hawana chao CHADEMA maana Mungu kadhamilia kuisafisha CHADEMA kupitia Lissu na Heche ili Tanzania ipate ukombozi wa kweli.
 
Tulioko njiani kujiunga CDM tupo wengi kuliko hao G55 wanaoondoka,by the way,G55 ni kundi lililojigawa kutoka ccm enzi hizo,niambie kama kuna anayekumbuka kama liliwahi kuwepo.
chama ni kikubwa kuliko kundi dogo la waasi.
Kwa kifupi hawa G55 wa CHADEMA ni madalali wa kisiasa. Ni mapandikizi yanayotumia siasa kujinufaisha binafsi.
 
Propaganda za kizamani toka kwa makada wa ccm. Hii inazidi kuanika ni jinsi gani umepata maumivu ya mumeo kushindwa kihalali. Lisu ashikilie hapo hapo hawa madalali hadi warudishe hela walizohongwa na ccm kwenye uchaguzi. Mbowe arudi chamani kwani alifukuzwa au alizira baada ya kushindwa?
Hahahaha!! Nilikwambia awali muda utaamua. Huu utoto tu unakusumbua lakini kinachokuja mbeleni Lissu atajuta kwa aliyofanya!! Siyo tu atakwama CHADEMA but atalipia ule ushenzi in a hard way... andika chini hiki kitu utakuja kupigia mstari. Hujui unaongea na mtu wa aina gani au una akili za kitoto zile za kuamini bahari inamilikiwa na baba yako.

Moto unakuja hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe!
 
Una utoto mwingi sana nani kakosa pa kushika mimi au Lissu? Subiri ujionee yajayo yanafurahisha!!
We ni nani ujilinganishe na Lissu? Nani anakojoa? Hahah na Id fake yako! Lissu ni historical figure kwa nchi kijana we pata supu upunguze kujipa umuhimu kwnye cause za watu
 
Na kwa list ile hapo ndo msumari aliokalia Lissu!! Lema ni chokoraa tu sahvi asie na mwelekeo maana hapo alipo anapewa Assylum benefits za Canada anataka wenzie wapige tarumbeta huku Lissu akipokea vivisection vya ubelgiji! Hawa hayawani waende na uko aisee

Kubalini Lissu amewapiga Chini kwenye uchaguzi Tena Dunia yote ikiangalia. Mwacheni afanye kazi. Mbona Mbowe migogoro ilikuwa mingi tangu enzi za Chacha wangwe, lakini tulimwamini?. Punguza personal feelings kwenye mambo ya taasisi.
 
Back
Top Bottom