PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
MBOWE HANA NAFASI TENA CHADEMA, HATUJITAJI SIASA ZA KIDALALI.

LISSU SHIKILIA HAPOHAPO
Ukumbuke hii ni tahadhari ya kinachotokea ndani ya Chadema. Fuatilia post ya Mentor wa Lissu Maria Sarungi huko Twitter. Amewataja vigogo waliosaini petition ya kutaka washiriki Uchaguzi Mkuu kwa kugombea. Unataka Lissu ashikilie hapahapo hata chama kikifa?
 
Hivi Lissu ndio amekuja na no reforms no election au ni CHADEMA?. Punguzeni lawama za kitoto. Kwanza hiyo no reforms no election iliaanza kipindi Cha Mbowe sio Lissu. Ila kwasababu hamna Cha kushika mnamlaumu Lissu. Kiweni serious.
 
Na kwa list ile hapo ndo msumari aliokalia Lissu!! Lema ni chokoraa tu sahvi asie na mwelekeo maana hapo alipo anapewa Assylum benefits za Canada anataka wenzie wapige tarumbeta huku Lissu akipokea vivisection vya ubelgiji! Hawa hayawani waende na uko aisee
 
Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
4. Lema hapakuwa na mpaka sasa na haja ya press hii! Inawagawa zaidi kuliko kuwaunganisha! Mengine kaa nayo kifuani, play altruism!

Kwa hivi nani atawapa nchi? kama mnashindwa ku handle simple internal misunderstandings, mwenye akili kweli atawapigia kura?

Kwa Nini unaleta clip ya wakati wa kampeni Leo? Una Nia gani?. Tukileta za wenje alivyokuwa anamtukana Lissu utaongea nini?
 
Hivi Lissu ndio amekuja na no reforms no election au ni CHADEMA?. Punguzeni lawama za kitoto. Kwanza hiyo no reforms no election iliaanza kipindi Cha Mbowe sio Lissu. Ila kwasababu hamna Cha kushika mnamlaumu Lissu. Kiweni serious.
Kwani Mbowe aliacha No Reform, No Election peke yake? Mbona maridhiano na Serikali hayaongelei?
 
Hivi Lissu ndio amekuja na no reforms no election au ni CHADEMA?. Punguzeni lawama za kitoto. Kwanza hiyo no reforms no election iliaanza kipindi Cha Mbowe sio Lissu. Ila kwasababu hamna Cha kushika mnamlaumu Lissu. Kiweni serious.
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!
 
Na yule malaya wa Nairobi na anawakoroga balaa!! Tuliona mbali sana uwezo wa kuongoza taasisi kubwa kama CHADEMA lissu hana na hakua tayari. Muda ni hakimu wa yote.

Lissu kakosea wapi?. Kusimamia agenda ya chama ni kosa?. Ulitaka mwenyekiti akane maazimio ya Mkutano Mkuu ili awafurahishe?. Hakuna kitu kama hicho.
 
Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
4. Lema hapakuwa na mpaka sasa na haja ya press hii! Inawagawa zaidi kuliko kuwaunganisha! Mengine kaa nayo kifuani, play altruism!

Kwa hivi nani atawapa nchi? kama mnashindwa ku handle simple internal misunderstandings, mwenye akili kweli atawapigia kura?
Pambana mzee!

Abdul lazima aongeze dau zile project zako za ujenzi zikamilike.

Uzuri Watanzania tumeshaamua kwenda na Lissu na Heche. Hata mfanyeje hawa ndo wakombozi halisi wa Watanzania na Watanzania tupo nao hatuwaachi.

Nyie endeleeni tu kufanya biashara na CCM na Abdul.
 
Hivi Lissu ndio amekuja na no reforms no election au ni CHADEMA?. Punguzeni lawama za kitoto. Kwanza hiyo no reforms no election iliaanza kipindi Cha Mbowe sio Lissu. Ila kwasababu hamna Cha kushika mnamlaumu Lissu. Kiweni serious.
Achana nao mzee hao.

Hao wako kwenye project maalum ya kula hela za Abdul na CCM mambo yao binafsi yaende.

Hawana hoja zozote za msingi ni upuuzi tu.
 
Lissu kakosea wapi?. Kusimamia agenda ya chama ni kosa?. Ulitaka mwenyekiti akane maazimio ya Mkutano Mkuu ili awafurahishe?. Hakuna kitu kama hicho.
Hiyo ajenda ni yeye aliipenueza KK enzi zile nq research ilifanyika kukaonekana hakuna uwezekano wala mafanikio katika hilo. Lissu na Lema wana pa kula wengine je? Kwa ujumla moto unafukuta chini soon kutakua na mgomo mkubwa KK kuiondoa hiyo ajenda!!
 
Back
Top Bottom