PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We ni nani ujilinganishe na Lissu? Nani anakojoa? Hahah na Id fake yako! Lissu ni historical figure kwa nchi kijana we pata supu upunguze umuhimu kwnye cause za watu
Hii inadhihirisha namna gani huna akili!! Sasa unafanya comparison kwa mtu mwenye anonymous ID? Wewe na mimi nnayeandika nani ananijua?
 
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!

Sasa si muende kwenye hivyo vyama vingine 14 mkagombee kama mtashinda. Mnapiga kelele ya kugombea huku mnajua CCM hawezi kushinda kwa mazingira haya. Nendeni NCCR au CHAUMMA.
 
Hata shetani anajua hakuna mwanasiasa msafi nchi hii kama Lissu.

Huu upuuzi wako unaweza kuushawishi ubongo wango tu uliofanya ndaza na Ccm
Una upumbavu sana wewe!! Hahahaha kweli wewe ni mtoto anaeamini hii dunia ni ya baba yake mzazi!! Niliwahi sema hapa kama wewe sio Lissu mwenyewe basi utakua na kichaa!!
 
In fact Mbowe kesharudisha yote alopoteza wakati wa JPM kupitia Fedha za Abdul.

Heche hamna namna ambayo ataweza mrejesha mdogo wake.

LISSU Hana namna ya kurejesha mwili wake kabla ya ulemavu ulotokana na Risasi 16.

Hivo LISSU NA HECHE WASOMGE MBELE, WANANCHI TUNAWAELEWA.

G-55 wangekua wakushinda, wangemshinda LISSU wakati wa Uchaguzi.


Kwa Sasa wanajua wameshindwa, wanajaribu tu kuleta vijivurugu ili waonekane.

G 55 wamekataliwa na Mkutano Mkuu, wakakataliwa na Wanachama, na wamekataliwa na Wananchi.
Kuna watu humu unawafikiria kama watu wenye busara ( maana hatujuami JF). Sasa rafiki unaandika haya na kutufanya tuliokuwa tunakufikiria mtu wa busara to have a negative perception of your ability to think intuitively ,philosophically and rationally!
 
Hahahaha!! Nilikwambia awali muda utaamua. Huu utoto tu unakusumbua lakini kinachokuja mbeleni Lissu atajuta kwa aliyofanya!! Siyo tu atakwama CHADEMA but atalipia ule ushenzi in a hard way... andika chini hiki kitu utakuja kupigia mstari. Hujui unaongea na mtu wa aina gani au una akili za kitoto zile za kuamini bahari inamilikiwa na baba yako.

Moto unakuja hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe!
Katishie mapeasant wenzio huko bush. Hela mlizohongwa na ccm mtazitolea kwenye hilo tundu la tope hapo uani. Mlitegemea Mbowe atafia kwenye hicho kiti, basi safari hii mmeukalia.
 
Na Nchimbi kasema hakuna kubembelezwa! Ningeshangaa nchi yenye vyama zaidi ya 14 vya siasa mmbembeleze vichaa wawili washiriki uchaguzi? Na huko CDM kweli maelfu waliopo wawasikilize vichaa wawili na malaya mmoja wa Nairobi? He'll NO!

Leo unamwona katibu mkuu wa CCM wa maana na bado unaishambulia CHADEMA. Kama mna nguvu ya kushinda kagombeeni APPT Maendeleo.
 
Sasa si muende kwenye hivyo vyama vingine 14 mkagombee kama mtashinda. Mnapiga kelele ya kugombea huku mnajua CCM hawezi kushinda kwa mazingira haya. Nendeni NCCR au CHAUMMA.
Waende ili CHADEMA wamwachie nani? Hakuna atakayehama chama maana lissu na huyo malaya CDM sio mali yao!!
Labda lissu na huyo malaya wakaanzishe chama chao hakuna atakayeondoka na kitaeleweka shwaini!!
 
Hii inadhihirisha namna gani huna akili!! Sasa unafanya comparison kwa mtu mwenye anonymous ID? Wewe na mimi nnayeandika nani ananijua?
Punguza jazba na g55 yako mwenye akili, Lissu is there to stay kijana na ana consistency ile mbaya yani! Hamna internet warrior anamshughulisha alishasema! Yani jiwe aliteseka hadi akazimika itakua vipost vya jf? Mtateseka sana wachumia tumbo
 
Una upumbavu sana wewe!! Hahahaha kweli wewe ni mtoto anaeamini hii dunia ni ya baba yake mzazi!! Niliwahi sema hapa kama wewe sio Lissu mwenyewe basi utakua na kichaa!!
Lazima useme mimi ni kichaa maana hoja zangu zinakuumiza sana.

Tulieni tu. Watanzania wa sasa sio wapumbavu tena na wameshawajua nyie ndo chanzo cha umaskini wao.
 
Leo unamwona katibu mkuu wa CCM wa maana na bado unaishambulia CHADEMA. Kama mna nguvu ya kushinda kagombeeni APPT Maendeleo.
Hakuna wa kwenda popote!! Moto utawaka na kuzimikia CHADEMA!
 
Kwa kifupi hawa G55 wa CHADEMA ni madalali wa kisiasa. Ni mapandikizi yanayotumia siasa kujinufaisha binafsi.
Na sisi watanzania hatutawapa nafasi kamwe.
mimi siyo chadema,ila nimewaelewa Lisu na Heche.

Kuna kitu nilitafakari sana. Magu kabla ya kuingia ikulu kwenye clips zake akiwa waziri hakuwa na bifu kubwa na upinzani kama ile aliyoinesha baada ya kuingia ikulu na kusoma siri zote za nchi.

Baada ya kuingia,akaibuka na hoja ya ''tujenge nchi tuachane na siasa''.
Nikajiuliza,je ni kitu gani amekikuta huko? mpaka leo sijawahi kupata jibu.
Sasa vita yoyote kutoka kwa viongozi wa cdm waliostaafu,endapo itaendelea dhidi ya viongozi wa sasa,nitakamilisha research yangu,
 
Kuna watu humu unawafikiria kama watu wenye busara ( maana hatujuami JF). Sasa rafiki unaandika haya na kutufanya tuliokuwa tunakufikiria mtu wa busara to have a negative perception of your ability to think intuitively ,philosophically and rationally!
Ungekuwa na akili usingeokoteza vijiclip kabla ya uchaguzi na kuvileta hapa. Mbowe ameshindwa kihalali, anapaswa kukubali. Akae na ccm waone atawarudishia vipi hela zao alizowadanganya atamshinda Lisu. Kufanya hujuma na genge lake hakumtoi.
 
Kubalini Lissu amewapiga Chini kwenye uchaguzi Tena Dunia yote ikiangalia. Mwacheni afanye kazi. Mbona Mbowe migogoro ilikuwa mingi tangu enzi za Chacha wangwe, lakini tulimwamini?. Punguza personal feelings kwenye mambo ya taasisi.
Lissu hafiki popote na atalipia ufirauni wake in a hard way!
 
MBOWE HANA NAFASI TENA CHADEMA, HATUJITAJI SIASA ZA KIDALALI.

LISSU SHIKILIA HAPOHAPO
Mnakosea, kama wewe ni mmoja wao mnakosea sana. Wengi hatujasoma sayansi ya siasa ila tunaona mnakosea sana.

Baada ya uchaguzi ni lazima kuunganisha makundi, huwezi kuongoza watu wenye makundi na mabifu.

Lissu anakosea na nakuambia chama kitamfia asipokuwa makini. Haya mambo hayataki maguvu, play smart.
 
Hiyo ajenda ni yeye aliipenueza KK enzi zile nq research ilifanyika kukaonekana hakuna uwezekano wala mafanikio katika hilo. Lissu na Lema wana pa kula wengine je? Kwa ujumla moto unafukuta chini soon kutakua na mgomo mkubwa KK kuiondoa hiyo ajenda!!

Acha hizo wewe. Kwa hivyo Lissu ndio Kamati kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu umeisha miezi miwili iliyopita, na ikapitisha maamuzi hayo wewe Leo unaleta stori za kwamba Lissu ndio alipendekeza. Muacheni Lissu afanye kazi.
 
Back
Top Bottom