PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haya yote yanaletwa na hali ya uhaba wa fedha .
Inaonekana walidhani Mbowe anaogelea kwenye hela za chama, kumbe mtu ana akaunti mpaka Dubai kwa mishemishe zake...
Sasa wameingia wanakuta hakuna hata senti moja, wanashangaa hela zote zimeenda wapi?
 
Basi tumpe nafasi Lissu ana miezi miwili tu tangu akabidhiwe chama.
Hata ushauri hamtaki tumpe? Chama kina cracks, he has to mend where necessary. Hawa maccm wanahitaji mbinu zote kudeal nao, they're crooked, bila kujipanga hatuwezi kuondoa haya majambazi madarakani.
 
Sawa James Mbowe. Kama Lissu ni kichaa basi wewe ni maiti.
Hahahahaha kumbe econonist ukipata mtu sahihi na tough anaweza kukuleta kwenye 18 ukavua Nguo zote na kubaki katika uhalisia wako!!! Hahahahaha kumbe una kishoia kiasi hiki! Kwahiyo Mimi ni James Mbowe sio 😂😂😂😂😂😂
 
Kama Lissu alimpiga Mbowe na machawa wake hadharani, kwanini ashindwe kuzuia uchaguzi wa kijinga.
Alimpiga kwa margin gani? Hili mbona hamtaki lisema? Kwahyo kwa utomvu uliobeba kichwani ndo unaiona ni nguvu ya kuikabili TZ nzima akazuia uchaguzi? Huna tofauti na mtoto anayeamini baba yake ndo mmiliki wa ulimwengu hahahahahahaha!
 
Chama kina mwenyekiti, kwa sasa mbowe ni mwanachama wa kawaida, nongwa ipo wapi?
#Au bado mnautaka Uwenyekiti wake?
Kinachotushangaza ni kwanini watu wa Lissu wamekuwa wakiitetea No Reform, No Election kwa kutumia jina Mbowe. Nasi tunahoji, kwanini Mbowe wakati Mwenyekiti Lissu yupo? Au wameanza kuona umuhimu wa Mbowe?
 
Mkutano Mkuu ukiamua hakuna shida maana si ndio uliopitisha. Shida mpo very personal. Maumivu ya kipigo yanawasumbua Sana.
Hiyo hiyo mikutano ndo itaenda pasua mbarika just wait you will see!
 
Kuna watu humu unawafikiria kama watu wenye busara ( maana hatujuami JF). Sasa rafiki unaandika haya na kutufanya tuliokuwa tunakufikiria mtu wa busara to have a negative perception of your ability to think intuitively ,philosophically and rationally!
LISSU Afanye nn?

Mbowe kafukuzwa CHAMAN?? Kwann anajitenga na Shughuli za chama?.

Mnataka LISSU akampigie Magoti??.


Hao G 55, wao hawajui MSIMAMO wa chama ulopitishwa na Mkutano Mkuu??.

Achana kuwachokonoa watu
 
Nimecheka vibaya, mwanzo ilikuwa hawezi kumshinda Mbowe, ila sasa ameshinda ndio mnakuja na story za ataanguka. Kama mlikuwa na uwezo huo aliwashindaje?
Lissu anaangukia pua you can take it to the bank!
 
Kinachotushangaza ni kwanini watu wa Lissu wamekuwa wakiitetea No Reform, No Election kwa kutumia jina Mbowe. Nasi tunahoji, kwanini Mbowe wakati Mwenyekiti Lissu yupo? Au wameanza kuona umuhimu wa Mbowe?
Mbowe hana mchango wowote Kwa Chama Kwa Sasa .

Wewe umeona Harakati za CHAMA, zimekwama??
 
LISSU Afanye nn?

Mbowe kafukuzwa CHAMAN?? Kwann anajitenga na Shughuli za chama?.

Mnataka LISSU akampigie Magoti??.


Hao G 55, wao hawajui MSIMAMO wa chama ulopitishwa na Mkutano Mkuu??.

Achana kuwachokonoa watu
We mtoto mnywa visungura tuuu
 
Waunde chama Chao cha CHAMA CHA DEMOKRASIA NA HAKI (CHADEHA)
 
Back
Top Bottom